Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
What astronauts see when they're plummeting back to Earth, in one GIF . When astronauts return from the International Space Station, their capsule hits the atmosphere at a speed of more than...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu, naomba msaada kuna simu ya kichina imekuja ya huawei y320 lakn ilikuwa ya kampuni za simu chini haina option ya MMI code ambayo ndio unaweza kujua salio lako kwa kubofya *102# na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu wanateknolojia heshima kwenu. Mimi ni mwenyeji jukwaa la siasa huku ni mgeni nimekuja kwa shughuli moja. Maelekezo Tafadhali
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna mtu ananiuzia gari aina toyota carib. Iko kweli hali nzuri sana tu. Ila hofu yangu ni juu ya spare pamoja na ulaji wa mafuta wa hii gari, je ni economy? Na je inafaa kwa matumizi ya kawaida...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
simu yangu ya huawei y 300 inasumbua proximity sensor, kiasi ambacho nikimpigia mtu simu ziwezi kukata hadi nitumie power button, pia ikiwa ime sleep ziwezi kuitumia hadi nitumie power button...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wadau, kuna toshiba inaniandikia cmos failed nfanye nini kusolve tatizo hili
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Hi wadau, Msaada jinsi ya kuzuia sms kutoka tigo, inaingia uwe na package au na salio yenyewe inaingia tu.... "salio halitosh. Ongeza salio au piga *149*49# kupata sek 240 za niwezeshe dakika...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ni Samsung galaxy note 3,kuna mahali mdogo wangu kabonyeza keyboard haionekani tena badala yake ukitaka kuandika sms ni kwa voice command tu. Wajuzi hebu niambieni nifanye nini kurudisha keyboard?
0 Reactions
2 Replies
788 Views
Jamani wana JFnatafuta mtu anayeweza kurepair mini pad aína ya tecno p9 haiwaki ukiweka chaji ina blink tu haiwaki naomba msaada hiyo défice kwa sasa Ipo mwanza niliamua kuiacha home kama unaweza...
0 Reactions
1 Replies
623 Views
Hey! TUtafutie jinsi ya ku2wekea Jf kwenye blackberry phones bax
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu kila mmoja wetu tu buheri wa afya. Mwenye uelewa juu ya tatizo hili anisadie; mdogo wangu kachezea simu yangu kwa kuweka patterns nisizozijua na yeye hakumbuki kachora patterns...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama tayari umeshafungua Blog yako, basi hongera kwa hilo kwani hiyo ni hatua kubwa ambayo kila Blogger aliyefanikiwa amepitia. Sasa kinachofuata ni nini cha kufanya ili kuhakikisha watu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana jamvi naomben mnisaidie product keys za kaspersky 2015
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Jamani habari zenu, naomba msada, gari yangu spacio engine 1NZ inatatizo la kukata kuwaka nikiwasha asubuhi battery haiwashi mpaka ni boost, nimenunue battery ya maji N40 lakini tatizo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Msaada tafadhali niliazama mtu cmu yangu akakosea patten mpaka ikajifunga sasa ikawa inaniomba email na password ya Gmail sasa kila nikiweka inaniandikia invalid username or password na...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Jamani mimi sijawahi ku'update Window kwenye pc,, nataka ku'update kwa kutamia product keys je files nilizo'save kwenye hii pc zitafutika? na kama ndio je kuna njia ya ku'update bila kufata my...
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Hii inaweza kuwa habari mbaya zaidi kuwahi kusikika masikioni mwa wapenzi wa movies naVideo games wanaotegemea mitandao ya torrent kupakua mafile bure kwenye internet. Ikiwa ni mwezi mmoja tu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Simu yangu inatumia sim card ndogo lakini kwa hapa bongo nimeshindwa kujua kama inauzwa/inapatikana. Au kuna mtaalamu yoyote anayejua kukata sim card? wakuu kwa anafaham kwa hapa nda naomba...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
jamani naomba msaada kuelekezwa jinsi ya kupata free biblia takatifu swahili version for iOS.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau kumekua na maduka mengi yanauza smartphone ambazo sio original. naomba nielezwe ni wapi ntapata original
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom