Kuna mtu aliweka cm kwangu nokia 105 nikampa hela kisha akatokomea yapata miezi 2 sasa ila nikiwasha inaomba security code .
Huduma ya kuflash ipo umbali wa 192 km nifanyeje.
Habari,
Naomba msaada juu ya..... (kichwa cha habari) nataka nibadilishe namba yangu ya whatsapp ionekane ya nje ila mm nipo tanzania... sema ndo sijui nifanye nini ila ipo iyo system naomba...
Najaribu kutafuta neno fulani ..naandika "Kum..." matokeo ninayopata ina nilazimu kuachana na google search kwa hilo neno ...naingiza "picha za ..khaa.hapo napo balaa tupu. Sijuia TACRA wanafanya...
Wakuu! Naomba msaada kwa tatizo hili:
Nina Tv tajwa hapo juu Ina king'amuzi ndani (DTV) tatizo kubwa nikitafuta Tv ambazo zipo kwenye Digital (Search) huwa zinaingia ila tatizo Siwezi kuziona na...
Unataka kuagiza, au umeagiza gari iliyotumika au mpya kutoka popote duniani? Tunafanya huduma ya kutoa magari, mitambo na mizigo ya aina zote bandarini.
Kama kuna kitu kinakutatiza katika moja...
Mkuu Njuwa wa mavoko na wa Tech forum wote naomba msaada wenu, Nimeibiwa si yangu samsung S4 na kwa bahati nzuri IMEI no zake nazijua,pia nilikua nime install trial version ya spy software moja...
Mtandao wa kijamii wa Instagram leo umeendesha zoezi la kufuta akaunti feki. Akaunti zilizofutwa nyingi ni zile ambazo hununuliwa na wafanyabiashara au wasanii ili kuongeza umaarufu wao kwa...
Habari wakuu
Natafuta movie maker ambayo ntaweza itumia bila kuunganisha na internet ama ambayo ntaweza make a short film na kuidownload kirahisi
Ni hayo tu wadau
Asanteni
We have faced a major setback and we are postponing the ADSum Conference to early next year. We are setting up a page to explain the reasons as well as to put plans.
Please accept our apology...
Hi wana forum , nina Tv bapa model number PS43E400U1R, hi TV ina tatizo la kutowaka, Tatizo lilianza kwa picha kukatakata then ikawa inawaza vizuri baada ya muda picha inazimiza screen inakuwa...
habari zenu,naombeni msaada nna printer ya hp (black n white) ,nikifungua file za pdf hii priner haionekani/haisomi,nimeupdate adobe,nimeinstall printer online lkn bado ,plz help:sick:
The court in the Hague sentenced the 28 year old Jordy de J. from Nieuwerkerk to 12 months in prison, 8 of which are probationary. He was found guilty of hacking into the Groene Hart Hospital's...
Wakuu nina simu ambayo nimeletewa kutoka USA nimeshindwa ku unlock,aina ya cm ndo hiyo hapo juu,plse anayejua watu wanaoweza ku unlock anielekeze.
Pia itachukua muda gan??
It is a huge event in hacking history as hacker stole date being estimated up to 11 tetrabyte.The hackers demand is to stop releasing a new comedy movie wich was expected next thursday, the movie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.