Habarini wadau!
Nahitaji kununua Samsung smartphone mpya na original!
Budget yangu katika hili ni 400k tu.
Naomba wajuvi wa Samsung na bei zake kwa sasa mniambie kwa hiyo budget ni samsung gani...
nimekua nikijiunga na kifurushi cha unlimited cha buku cha voda kila siku, nikawa na download na kufanya mambo yangu vizuri tu, but nikama ww sasa, nafungua website tofauti inazingua, inafunguka...
Simu yangu ya Galaxy Note3 imepata tatizo la kujizima ninapoiacha idle kwa muda. Huwa nashindwa kuwasha hadi nitoe betri na kuirudisha. Nimejaribu kununua betri mpya kwa kujua tatizo ni betri...
Wakuu! Nipo Dar kwa muda wa siku 5 nahitaji mtaalam wa ku-root simu yangu tajwa hapo juu. Napatikana maeneo ya Pugu na Kariakoo. Kandamiza PM na gharama za huduma. Asante!
Habari wakuu,
Jana nimenunua simu tajwa hapo juu, wakaniambia nisiitumie mpaka nitakapoichaji maana ni mpya. Baada ya kuichaji nikaingiza simcard zote mbili, lakini cha ajabu mpaka...
Mwenye majuzi na uzoefu anijuze aina ya gari used ndogo yenye sifa hizi:
-Inayonusa mafuta(inayotumia mafuta kidogo)
-Bei <7mil.
-Unafuu wa Spare parts.
-Uchache wa kilometer zilizokwisha tumika
Vipi wakuu nisaidieni mi mgeni wa products za Behringer, nimezoea Pioneer. Nahitaji msaada software gani nzuri kutumia kwenye product hii maana nimejaribu Virtual DJ naona inazingua iko slow in...
Wakuu habari za jumapili...
Naomba msaada tafadhali, kuna jamaa alinitengenezea program fulani sasa kasafiri na yupo mbali sana, sasa computer niliyokuwa natumia imeibiwa. Program yenyewe sina...
Najaribu kutengeneza program flani yenye feature ya kupokea sms. sasa baada ya kukamilisha hatua zote ninapojaribu ku-run inaniletea error hii "STRING OUT OF RANGE: -12"...
Salaam wakuu,
Direct to the point, kuna tatizo la SMS kujirudia kweny3 hii simu. yaan text unaweza ukaisomà ukaifuta af ikaingia tena kama inbox hata mara 5.
msaada Tafadhali!
Ukiifungua, upande wa kushoto "Useful Links" uki click utaona:
Useful Links
I LIKE SEX
IT'S VERY NICE
Hafu uki click hiyo I Like Sex inaku direct Google Home...
hbr zenu wana teknolojia naomba mnisaidie namna ya kurejesha shortcuts kuna jamaa nilimuazima cm akazitia kwenye dustbin zote aina ya simu ni tecno m3
natanguliza shukrani
Habari ndugu zangu wa JF? Mimi mzima. Computer yangu imekuwa na tatizo la kuandika power save mode na kuniletea maneno mengine halafu inawaka. Baada ya muda inaandika tena power save mode...
Kwa wale watumiaji wa Javascript, kwa muda nimekua nikitumia text editor (Sublime text) kucode Javascript afu results nakua narefresh kwenye HTML page, hii inanifanya niwe slow mno..
Natafuta...
Wakuu!!!
Nina database ambayo ni postgresql 9.1.3.1 na natumia postgis 2.0.0.2. Fronthand ni access 2007. sasa ninavyo insert data message tajwa hapo juu inatokea. Nikijaribu kuangalia naona kila...
Huna haja ya kununua stabilizer kwa kila chumba!
Unacho hitaji ni kununua stabilizer moja yenye uwezo wa kuhudumia vyumba vyote unavyo hitaji socket zake ziwe na ulinzi wa stabilizer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.