Ki ukweli programmer wengi wanapenda ku-code software wenyewe, ila inapotokea muda na majukumu hayaruhusu wewe kufanya coding wenyewe utachagua option ipi kati ya Hizi.
1. Open Source software...
For the consumer who wants a smartphone to make an impression, the Lamborghini nameplate can do that -- for a cool $6,000 (about sh16.9m - Ugandan shillings), shipping included.
Tonino...
Heri ya Mwaka Mpya wataalamu na wadau wote wa jukwaa hili.
Nimesoma kwa masikitiko makubwa kwamba Microsoft watasimamisha support ya Windows xp mwezi wa nne mwaka huu.
Hizi habari kwangu ni pigo...
Refer to the heading above, nahitaji kupata laptop ambayo itanifaa katika harakati zangu za kufikia malengo yangu ya kuwa best hacker kwa kuanza kujifunza programming language.
Je ni laptop gani...
kama kawaida kila january ya mwaka mpya kunakuwa na maonyesho ya CES ambapo kampuni mbali mbali huonyesha technology zao mpya. badala ya kufungua thread nyingi nitazijumuisha zote hapa. na sitaeka...
Hotspot-Shield-Elite-3.1-Ad-FreeCracked for Premium servers
VPN IMECHAKACHULIWA HUHITAJI KUNUNUA KEYS ,INAPIGA KAZI FRESH NI KWAJILI YA ANDROID SMARTPHONES
-utaweza kuprotect ip adress yako ili...
Natumia dual sim(voda&tigo) ktk simu yangu, voda inapiga mzigo kama Kawaida lakini tigo inaishia kunipa only GSM service na huwa na-enable 3g service katka line ya tigo pia sometimes huwa...
Nikifanya installation ya win xp p3 kulog in ni lazima nitumie safe mode la sivyo inastack kabla haijafunguka.Nikiinstall win bila ya kuinstall zile device zinazokuja baada ya kuselect...
Habari yenu wadau
Nina ndugu Yangu ana duka la vifaa vya ujenzi anahitaji computer application ambayo itamsaidia kurekodi mauzo na manunuzi lakini pia kumpa ripoti mbalimbali atakazo hitaji...
Pole kwa majukumu wakuu nilikuwa natumia laptop yangu aina ya hp 650 nikaiacha kwa mda kidogo nilivyorudi nimeikuta sleep mode nilipojaribu kubofya ili niendelee na issue zangu imekataa na kila...
Nina AdSense katika Blogu yangu,ila sielewi jamaa wanavyofanya. Siku hizi mapato yamepungua sana.
Views bado zipo pale pale, Mfano unakuta siku napata mpaka $0.01 na clicks zimepigwa. Sielewi hapa
Nina java standalone database(mySql) application nataka niisambaze for free lakini tatizo lipo kwenye jinsi ya kujumuisha database katika executable file ili nayo iwe installed pamoja na...
Wanaukumbi.
Xiaomi proving its gadgets as best value for price phones is now trying to make a mark in India as rumor that Mi4 will be available in December.
With Mi3 going sold out in...
Tangia Niingie JF Nimekuwa Nikijaribu Ku' Upload Picha Kwenye Profile Yangu Bila Mafanikio Yeyote, Kubwa Zaidi Kila Nikitaka Kupost Picha (iyo post) haifanikiwi pia...
Ili Tatizo Ni Langu Tuu Au...
Samsung Accessories available for your quality use in affordable price as well if youre interested to have a copies of 3D films ..
SAMSUNG LCD TV
SAMSUNG LED TV
SAMSUNG PLASAMA TV
SAMSUNG...
Ni swali nililotafuta majibu nikakosa mpaka sasa. Je Betting sites zinaupdate vipi matokeo.? Unaweza ukakuta kwa muda husika kuna mechi zaidi ya 100, lakini goli ama kadi ikitolewa tuu, soon...
Nina simu Samsung galaxy SIII Mini (clone)
Simu hii ina tatizo moja haishiki 3G sijui tatizi ni nini!!
Kwa kifupi mfumo wa utengenezwaji wake uko hivi
Model Number
GT-18190...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.