A.Make Someone Leave a WhatsApp Group B.Force them to Delete your old WhatsApp Conversation
C.Crash their WhatsApp
WhatsApp ina-crash ukituma message yeyote inayozidi 2k ya memory
Just...
Jamani wadau naombeni msaada wenu kati hili, nashindwa kuelewa ipi inatakiwa iwe primary language? au machapisho ndo yasiwe katka lugha ya kiswahil? na je nifanyeje kusolve ili niweze kupata...
Pokeeni salamu wana jamvi.Mimi nahisi wakati mwingine speed ya internet inatokana na ile namba iliyo kwenye laini,kibongo bongo nyingi ni 32k ambayo speed yake ni ya kawaida.Wenzetu mbele mbele...
Naomba msaada kwa anaye faham jinsi kureactivate kaspersky anti-virus baada ya kubadili OPERATING SYSTEM(Window) maana nimefanya kila ninachokijua ila imegoma na kabla ya hapo nilikuwa naitumia...
Habari wakuu. Nime install PES 13 na patch zake hivi karibun kwa io imekua latest ila shida ni moja tu nikitaka cheza exihibition match game lina jifunga, vivyo hivyo nikitaka ingia kwenye Game...
Wakuu Nina mpango WA kufanya hizi shughuli za online business ili nijiongezee kipato,naomba kuuliza kwa wataalam walioishafanya shughuli je Ni njia ipi au kampuni ipi Ni best ktk hizi biashara???
Wadau,
Happy New Year,
Msaada unahitajika please, Last night nilistuka usiku usingizini kama kawaida maana sio mara ya kwanza.
Then hupenda kuangalia saa ngapi kwenye simu, then whatsapp...
habari, wanajamvi
nimekuwa nikipita almost daily kuchek kama suluhu la ku-unclock au kuflash modem HUAWEI E303s-2
limepatikana, sidhani katika wataalamu wa humu watakuwa hawana suluhu
hebu...
Pokeeni salamu wana jamvi.Mimi nahisi wakati mwingine speed ya internet inatokana na ile namba iliyo kwenye laini,kibongo bongo nyingi ni 32k ambayo speed yake ni ya kawaida.Wenzetu mbele mbele...
Sim yangu inaishia kwenye maandshi ya tecno katika kuwaka then nimejaribu kurestor kwa kutumia power botton na volume down lakin yanakuja maneno y kichna(siyaelew) kwa anae elewa anijuze...
:redface:Ni furaha ilioje!!!!!:redface:.
Nilikuwa nikiingoja hiyo huduma kwa muda mrefu na sasa yamekuwa. Tigo wanajiunga pamoja na mitandao mingine hasa hawa mahasimu wao Vodacom na Airtel na...
jamani nimedownload fifa 15 ultimate team lakini sina product keys zake kwahiyo ambaye anazo nahitaji msaada wake please jamani au mtu mwenye link ambayo ntadowload nakuifanyia installation...
Ninasoma vitabu sanaa, mara nyingi natumia kompyuta kusoma vitabu ambavyo vina fomati ya kidigitali... Napenda zaidi vitabu Vigumu(paperback) kuliko hivi vya digitali,
nimetembelea maktaba...
Juzi kati hivi, kama tarehe 12/12/14, kulikuwa na HTC Service Pack update iliyokuwa ikitolewa kupitia Google Play Store. Shida iliyokuja na update hii na kuzua malalamiko ya watumiaji wengi wa...
amani kwenu wanajamii.naomba kufahamishwa nimejaribu kuangalia baadhi ya account za watu,utakuta The User Is Privety.Sasa napenda kujua anatumia njia ipi kuifanya mtu usiweze kumfollow.Maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.