Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Walenga wana usemi unaosema nabii hakubaliki kwao,hii ni kweli kwa mida fulani ila kuna wakati inabidi ujitahidi ili uweze kukubalika au kuaminika. Katika dunia ya leo,kila mtu anataka kufanya...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Ni application gani ya simu naeza tumia kuseparate maneno/nyimbo from the beat viwe kando kando. Nataka kusikiza beat za nyimbo flani pekee bila maneno ya nyimbo hizo. plz nisaidieni.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wataalamu simu tajwa hapo juu inaandika firmware upgrade encountered an issue.please recovery mode in kies & try again but nimejaribu mwenyewe kurecovery through kies imeshindikana msaada plz simu...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Natumia TECNO 635 ina 3G & WIFI connection lkn nikijaribu kufungua apps ya whatsapp cmu inaandika network error na sometimes cmu inazma kabixa..So kwa wazoefu nisaidien nn tatzo
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada tecno yangu p5 inawaka bt haifanyi kazi neno tecno halitok kwenye kioo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu mwenye serial key za hiyo version ya kaspersky naomba anisaidie
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Watu wengi wanapenda kuikagua simu kwa kuiangalia physical features ili kutambua kama ni original au sio. Kama ni mtaalamu ni kweli unaweza kuitambua kiurahisi kwa kuiangalia tu. Kwa wale wasio...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Naanza kwa kusema neno Website Development only sababu najua kuna watu wanaweza kuuliza kuhusu Mobile Apps, Desktop Apps na kadhalika. Hii post inahusiana na websites tu Basic web development...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
habari wana jamvi, nilikua naomba msaada wa kuactivate internet kwenye simu yangu aina ya samsung galaxy s3 , hapa ofisini ninapofanyia kazi kuna wireless inakubali tatizo nkitoka tu inagoma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Guyz habarini naombeni mnisaidie cm angu samsung galax note 3 nikiweka line inasoma lkn ina andika invalide IMEI mitandao yote bt mm natumia voda nn nifanye ili niwe naitumia msaada tafadhari...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hiyo ni model ya desktop pc yangu, imepata tatizo la ghafla ambalo sijajua linatokana hardware au software. Unapoiwasha pc inawaka na kukaa mda mfupi kisha inazima na kunamda haiwaki kabisa badala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
CNN has been looking into the prospect of using drones for news reporting for months, but it now has an important ally in its corner: the FAA. The two organizations have forged a research...
0 Reactions
3 Replies
716 Views
Habari wanajamvi. Computer yangu aina ya Gigabyte Chassis(window xp) nikiwasha inawaka na inapoanza kuscan inaishia katikati bila kumaliza. Hapo hata uclick vipi, haifanyi chochote. Nafanya kuzima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepata simu yenye window (window phone 7.5) at the same time iko katka android. Ni Samsung Focus. Ninapata matatizo mawili makubwa hadi sasa. Awali, ni kuwa nikichomeka USB cable ili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi Nimekomaa kwa kipindi cha miezi miwili lakini laptop yangu imeshindwa kuwa ina detecting Huawei Modems mpaka labda ni Uninstall Dahboard za Huawei afu ni re-install upya lkn niki disconnect...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
President Barack Obama arrives to speak at the FTC offices at the Constitution Center in Washington, Monday, Jan. 12, 2015, about his plan to improve confidence in technology by tackling identify...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
dekoda yangu ya startime ya dish imezma ghafla hv kuna mwenye tatzo kama langu plz jaman au hzi dekoda nimbovu
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Nmebadli window 8 to window seven7 so nimeshindwa kuweka wireless driver msaada jaman Na avg driver
0 Reactions
1 Replies
671 Views
Wanajamvi naombeni mnisaidie kunielekeza jinsi ya kujiunga na Ali express na gharama zake ili nianze kununua bidhaa online
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau, HTC one s yangu imeanguka na kupasuka screen, na haiwaki. je, ni nani ataweza kunibadilishia na kwa gharama gani? Nawatikia siku njema ya Mapinduzi,
0 Reactions
2 Replies
783 Views
Back
Top Bottom