Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimepata kusoma na kusikia kutoka vyanzo kadhaa kwamba astronauts huwa wanakwenda kwenya ISS na kufanya matengenezo (repairs) pale inapohitajika. Huenda wanaanga walio ndani ya ISS ndo hutoka na...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Nimesahau email password ninayotumia kwenye google account zangu ikiwemo playstore hivyo nikaamua kufuta account niliyokuwa natumia zaman ili niweze ku~create account mpya,hivyo nikafuata steps...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Inasema error, Core/ Activation.dll is mising from your computer. Nimeshadownload izo activation ila tatizo liko palepale.
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Naombeni mnisaidie kama naweza kipata kioo cha vodaphone 785 kwa dar maana iringa hakuna
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta kioo cha hiyo simu tajwa hapo juu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF napenda kwa aliye na uzoefu wa simu hizi anifahamishe yenye speed ya kudownload,na ina internal memory ya +50MB
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Habarini wanajamii?Nina laptop yangu ambayo ina window 8 lakini yapata wiki sasa nikiweka modem haifanyi kazi na badala yake inaniandikia "activate window"Sasa niki crick neno activate inanigomea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina simu yangu ni galaxy s3 mpya nimeitumia kwa wiki moja...leo kuanzia saa nane imekata mtandao ghafla hadi muda huu natumia voda na wengine wanapatikana kama kawaida kwenye simu zao kwa mtandao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi yahoo mail hawana option ya kuhifadhi picha (Photo albums) km Gmail? Nina acount ya yahoo lakini sijafanikiwa kuona option ya kuhifadhi picha zingine zaidi ya profile photo. Naomben mnisaidie
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa mambo ya kuchugulia angani..kupatwa kwa jua/mwezi, kuangalia nyota/satellite na mambo mengineyo angani najua watakuwa wanajua hii. Ila kwa wale wasiojua na wanapenda kujifunza...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Niaje, wanajamvi. Mimi na shida na movie, nimekuja humu maana najua watu ambao wapo updated sana wapo humu. movie za action, Science na fiction, ZA kutisha, STory, yani zozote mimi nipo adicted...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Heshima mbele Daima... Wanabodi naomba msaad tutani wakuu nimedownload software fulani kwa ajili ya kumanage prject zangu binafsi sasa ili iweze ku-run nahitaji niweke SQL Server 2012. sasa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Simu hii ina sifa zifuatazo 1. Ina mfumo wa internet wa 2G 2. Ina camera ya 0.3MP (VGA) 3. Ina 2 inch qvga lcd (320×240 pixels) 4. 8MB RAM 5. Chaji ni siku 29 standby.. siku 27 standby (dual sim)...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa mwenye uzoefu mzuri na Toyota Vitz model mpya ya kati ya mwaka 2005 - 2008. Nimeangalia kwenye mtandao wa Beforward kuna Model Code kama za aina tatu tofauti. Model Code hizo ni: 1...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Salamu wakubwa, Naomba msaada printer tajwa hapo juu ilikuwa inafanyakazi vizuri, lakini iliposafirishwa toka imefika TOUCH haifanyikazi ( in display lakini hakuna response ninapotaka kuitumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenye line yangu ya airtel nimepokea kwa mfulilizo sms zenye maneno haya:imo verification code .........(kwenye dashdash inawekwa namba. Katika muda wa ndani ya dk 5 nimepokea sms 4. Naomba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu naomba mwenye app inayoweza ku generate active email kadri nitakavyo.
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Kwa wale wapenzi wa mambo ya kuchugulia angani..kupatwa kwa jua/mwezi, kuangalia nyota/satellite na mambo mengineyo angani najua watakuwa wanajua hii. Ila kwa wale wasiojua na wanapenda kujifunza...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wasalam wanajf!! Siku kadhaa sasa Nasoma taratibu za kufanya manunuzi mtandaoni kutumia ebay. Katika kusajiri ebay account Kuna baadhi ya vitu sijavielewa mfano address, Postal code. kwa sasa nipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejaribu kuweka Link kwenye za video kutoka youtube kwenye blog yangu ila imegoma,pia ni mbinu gani nitumie kuweka mp3 songs kwenye blog?
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom