kwa wale wataalamu wa ku activate windows Kuna habari mbaya leo microsoft sasa hivi ametangaza itakuwa ni buree, ukiwa na pc yenye windows 7 au 8
kuieka hii habari vizuri zaidi ni kwamba...
Katika pitapita zangu kwenye mitandao nikagundua ukiachana na hizi piston engines zilizopopular kwenye magari na mashine mbalimbali kumbe kuna aina mpya ya engine ambazo hazitumii mfumo wa...
Just wanted to know how many People here are interested in paying for on-line Training for Our courses. Just tell us what you would like to learn (even if its not listed) and when.
Here is the...
INSURGE INTELLIGENCE, a new crowd-funded investigative journalism project, breaks the exclusive story of how the United States intelligence community funded, nurtured and incubated Google as part...
Ndugu nimekuwa nikitumia Iphone 4s na nimekuwa ninashindwa kutoa video zilizoko kwenye iphone na kuzipeleka au kuzitumia kwenye WHATSAPP mwenye uelewa naomba msaada.
Habari gani ?
Siku hizi kila mtu ana shauku ya kupata maarifa mapya. Maarifa hayo pia hupatikana kwenyesimu zenye internet. Hamna kitu kibaya kama mtu utamu umekolea halafu battery linaisha...
Wadau nina Epson projector ninapoiwasha tu inaniandikia "error in auto Iris"power off and Contact nearest Epson service provider. Nimekaa nayo miaka mitatu sasa bila shida leo hii ndo imeanza...
Naomba mnisaidie
Nina laini ya Voda, je kama siitumii kupiga simu lakini hela inawekwa( kwenye Mpesa) na kuna balance, je ni kweli line itakatwa baada ya miezi sita?
Nashukuru.
Wadau natumaini hamjambo, naombeni mwenye kufahamu namna ya kupata plugins za trapcode particular kwa ajili ya Adobe After Effects CS5 anisaidie.
Cc. kadoda11, Good Guy na wadau wingine please.
Simu yangu imestak katika sehemu Ya message na kupiga simu ila sehemu nyingine zinafanya kazi vizuri hii ilitokea baada Ya kuapdet version mpya ya iOS msaada jamani niganye nini simu inanikosesha...
Habari zenu wakuu, nilikuwa napitia kwenye net nikakumbana na list ya Best Top 10 Antiviruses in 2014 kama ilivyo hapo chini. ( Best Antivirus Software Review 2015 | Virus Protection )
1...
Mimi ni mtumiaji wa window phone mara nyingi natumia laini ya tigo.
Kila nikianza ku surfs au ningia instagram au facebook 3G inapotea, nikitoka inarudi saa hiyo hiyo nikingia tena inatoka ...
habari zenu wakuu, tatizo limetokea kwenye pc. nikiingiza password.unakuja ujumbe huu " THE USER PROFILE SERVICE FAILED THE LOGON. USER PROFILE CANNOT BE LOADED" nisaidien ndugu zangu.natanguliza...
Hiyo simu inafanya kazi za kawaida yaani kupiga/kupokea na sms lakini shughuli zinazohusu internet hakuna uwezekano.Naomba kupata solution ya hili tarizo. Nimenunua kwa mtu ila ni mpya haijawahi...
Jamani msaada anayejua kuhusu hili tatizo maana nikijaribu kudownload inaniandikia
"there was problem in signing in_ check your phone's date and time setting"
nimejaribu kuset tarehe na muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.