Hi
Naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia app ya JF kwenye simu ya android HTC. Sina uhakika kama version niliyonayo ni latest ila tatizo kubwa Nashindwa ku comment/kuchangia mada.
Yaani baada ya...
Wakuu
Ebu naomba kujua ubora wa Huawei (P6 & P7) kulinganisha na Samsung Note 2, Note 3 na S4.
Nataka kununua Huawei P6 au P7 ila nataka nijue zinatofauti gani na Samsung Note 2, Note 3 au S4...
Habari zenu wapendwa!!!
Naomba msaada kati ya Boxer 150 na Yamaha ipi ni pikipiki nzuri ya kutembelea na si ya kufanyia biashara.
Kuna ndugu kachangaywa na wenye nazo alipowauliza, kila mmoja...
Wadau napenda kuwakaribisha hapa ili tuwe tunapeana updates za vitu vipya "smart phones" zinapofika hapa TZ, specifications na bei yake.
Mfano:
Nokia XL imeshafika bongo na kama ndio inauzwa bei...
Wakuu naombeni kuuliza hiv unapata wapi nyimbo za kibongo.nimezoea kudownload za kiingereza kutoka waptrick lakini kule hakuna latest za kiswahili .sasa naombeni kujuzwa nitawezaje kuzidownload...
Habari Wakuu,
Jamani mnaoinaje hii idea.
Kuna baadhi ya makampun hapa tz yanatoa huduma mtandaoni kama za kibenki au insurance.
Mimi sio programmer, ila nawezatengeza wireframes ambazo...
Kuna rafiki yangu anamchumba wake hamuamini, alikuwa anahitaji kufuatilia mawasiliano yake. Nasikia kuna sim ambayo akimununulia anaweza kufuatilia mawasiliano yake pasipo muhusika kujua. Ni aina...
Katika pitapita zangu mjin iringa nimekutana na duka lina ving'amuz vya startime ila wanatumia dish sasa swali je hawa ni matapeli au ni kweli iringa startimes inapatikana maana ni duka moja tu...
Kwa muda mwingi kuna tumekuwa tukijiuliza hivi inakuwa baadhi yetu wanacheki chanel za dstv zote bila malipo na wakati wengine tunalipia hadi 143000/-
Sasa hapa bongo hivi sasa unaweza kuangalia...
wakuu naombeni msaada maana kwa muda wa wiki nzima sasa computer yangu inanisumbua, nikiwa naichaji cursor inapotea mpaka nitoe charger ndio naweza kuitumia, sasa naomba kujua tatizo linaweza kuwa...
Vipi wadau, mpo kwema !?
Naombeni kujua tofauti iliopo kati ya king'amuzi cha startimes kile kinachotumia Dish na kinachotumia Antena.
Fununu;
1. Nimesikia bei ya bando ipo tofauti
2. FTA...
Kama na wewe ni moja ya watu wanaopenda kudownload softwares na apps nadhan ushawahi kukutana na hili tatizo ambapo unaambiwa ili ufanikiwe kudownload kitu unachotaka lazima ufanye moja ya surveys...
Salaam Wakuu!
Naomba kuelekezwa jinsi ya kuset Zuku. Nafahamu kuset Dstv lakini Zuku sijawahi. So naomba kujua frequency za kuikamatia.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Kwanza natanguliza salam za dhati kwenu.
Natumia samsung galaxy gt 19500, kila ninapojaribu ku download video especially video za movie zina download yote ila wakati kwa kuplay inaplay dakika 5...
Wale mliokua mnalilia Satellite internet ya madishi naona waarabu wa Dubai wametuletea hii kitu
Kama kuna aliewatumia tunaomba feedback ila vifurushi vyao sijavipenda maana Unlimited zao zimebana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.