Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
naona tigo wanaziuza hizi simu kwa bei nafuu sana, wadau naomba mshee ubora wake na kama mnashauri kuzinunua, binafsi nimeshawishika kununua y 530 ila sijui ubora na udhaifu wake, na je zinakidhi...
0 Reactions
38 Replies
20K Views
nina binamu yangu ukimpigia simu yeye anakusikia ila yeye akiongea umsikii simu yake ni hiyo samsung galaxy s 4. je tatizo liko wap?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF. TV ya JVC imebadili lugha kutoka kiingereza kwenda kiarabu. Sijajua chanzo ni nini lakini ninapotumia rimoti lugha inayoonekana kwenye TV ni kiarabu na kwa maana hiyo nashindwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wataalam msaada play store inaload tu without responce pls
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Habari wakuu! Msaada kwa anayejua namna ya ku unlock pattern zilizojilock mtoto kachzea sim imejilock pattern na iternet ilikuwa off
0 Reactions
4 Replies
872 Views
Kuna anaye jua app ya kutuma fax kwa kutumia smartphone. Natumia tecno P5
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaaan naomba mnisaidie kudownload game in pc
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Naomba niulize swali,nimekuwa nikiona magari yanayokwenda spidi zaidi ya ile iliyowekwa kisheria hupigwa picha na RADAR. Swali; hivi radar huitambua kwa njia ipi kama gari ime overspeed? Huwa na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
I need either of these lenses 55-300mm zoom lens Or 50mm 1.8g prime lens for my nikon d3200 Which one is a better lens to start with??
0 Reactions
1 Replies
672 Views
modem ni ALCATEL X230E
0 Reactions
61 Replies
13K Views
Habari wana JF. Kwa muda mrefu, nilikuwa nikitumia simu za nokia, hasa hizi za symbian OS. Ingawa huwa natumia hata za Asha, lakini kwangu symbian ndo the best kwangu. Juzi kati hapa, niliamua...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Kabando kanateketea fasta kama sidownload vitu! Sasa maguru Hanna hizo makitu labda za kudissallow some apps kuoperate background! Labda ibaki WhatsApp tu! Natumia smart kicka ya Vodacom! Au...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kampuni ya Microsoft imemteua Ms Mariam Abdullahi kuwa meneja wake wa Africa Mashariki kwa upande wa vifaa vya mobile. Sehemu kubwa ya idara ya vifaa vya mobile ya Microsoft inatokana na kampuni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa natumia ipad sumsung galaxy note 10.1 lakini kwa siwezi piga picha coz nikifungua tu camera inaleta msg ' unknown error by errorcallback'
0 Reactions
3 Replies
848 Views
Nataka kununua laptop kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya chuo, je kwa bei ya laki nne na nusu mpaka laki tano ninunue laptop gani nzuri? na kwa kariakoo ntapata duka gani? Asante
2 Reactions
20 Replies
9K Views
Habar wana JF mimi nina hitaji kununua mojawapo kati ya Laptop au Ipad je ni kipi kati ya hiki ni muhimu zaid ya mwenzie na naomba mnitajie huo umuhimu wake upo wap zaid? Natanguliza shukrani...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Habari Naomba activation keys za W8.1 Pro 64 bit
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naomba kama kuna mtu anajua jinsi ya kuroot huawei ascend y-300 anisaidie.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau, mwenye hiyo plugin naomba anisaidie au mwenye link ya kudownload free naomba aniwekee. Nashukuru
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Nina simu aina ya nokia E72 baada ya kuflashiwa imegoma kuunganisha net. Wataalam nisaidieni kupata maelekezo namna ya kutatua tatizo hili.
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Back
Top Bottom