Nilikuwa ninaomba maelezo na apllication za kuroot simu ya IDEOS ,na jee nikiiroot android version yake itakuwa ngapi? kwa sababu ya sasa ni version 2.2!
Jamani wadau wenzangu ninahitaji kujua bei halisi ya hizi samsung galaxy s4 na s5 zote zikiwa ni mini kwa Mwanza city,kwani bei zinachanganya sana na nilipojaribu kuwauliza wenyewe kupitia ukurasa...
Jamani wadau wenzangu ninahitaji kujua bei halisi ya hizi samsung galaxy s4 na s5 zote zikiwa ni mini kwa Mwanza city,kwani bei zinachanganya sana na nilipojaribu kuwauliza wenyewe kupitia ukurasa...
Habari waungwana wa jukwaa la technology ningependa mwenye kujua specifications za Vodafone smart kick anijuze apa pamoja na mapungufu ya iyo simu, i want to purchase that product for someone.
Wakuu habari za majukumu. Juzi katika mizunguko yangu nilipita mahali na nikaona jamaa mmoja anangalia video kutokea kwenye simu yake ya mkononi kwenda ukutani bila kifaa kingine chochote.
Simu...
Y combinator are currently holding lectures at Stanford university on how to start a successful start up.The course is called How to Start a Startup.
For those ambao hawaifahamu Y...
Habarini wakuu wa hapa jukwaa, poleni na majukumu ya kila siku ya kusukuma gurudumu la taifa
Wakuu nina muda wa mwezi mmoja tangu niamie kwenye huu ulimwengu wa android, wiki yangu ni SONY...
Wadau ninajaribu kudesign blog template kwa kutumia aristeer 4.
Shida inakuja submenu haitokei baada ya kuiupload.
Kwa wale wenye uzoefu na hili naomba msaada wenu.
Wadau wangu naomba kufaham comparison ya hizo simu hapo juu ktk ubora wake na pia naomba ushauri simu gani ni nzuri kuwa nayo kwa maana ya kununua kati ya hizo maana katika kufatilia kwangu naona...
Wadau ninataka kujifunza computer programming Kama vile C++,java,HTML n.k. Nimejaribu kutafuta hapa Dar lakini sijafanikiwa.Kuna sehemu yeyote hapa Dar wanafundisha hizi programs?
Nina Os ya win 8.1 na win 7 kwnye flush yangu sasa nataka kuweka kwenye cd ili iwe bootable yani niwe natumia kufanyia new installation kwenye pc hambayo haina windows.
Nimejaribu na nero...
Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyosema hapo juu nahitaji msaada wenu na paypal kwani nimejaribu kujiunga na hiyo Internet Banking na Nikatumiwa confirmation password n.k
Lakini shida inakuja...
Habari wana JF, naomba kwa yeyote ambaye anaweza kunielekeza wapi nitapata mafundi wa ipod na Wii Nintendo Game
Tatizo la Ipod,
Ilianguka ikawa haiwaki kabisa na ukiweka kwenye umeme inakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.