Hey guy recently been teaching myself php. So did the next best thing and that is try to find challenges to solves.
Found this Reddit forum ambayo wanapost challenges every week ranging from easy...
Wakuu poleni na uchovu naomba msaada nina blackberry yangu ni aina ya curve inanisumbua sana napoingia watsap na haswa pale napotaka kutuma sms..meseji inakuwa inakataa kwenda kabisa haioneshi...
Nina iphone 5s ios 7.2.1 na nimeijailbrake Nataka kwenda ios 8 lakini nasita sababu tu bado haijapatikana jailbrake ya uhakika
Moja ya vitu siwezi kuwa tayari kuvikosa kwa ios ikiwa jailbroken ni...
Moja kati ya waasisi wa mtandao waPirrate bay Gttfrid Warg amehukumiwa kwenda jela miaka sita kwa kosa la kufanya hacking na kujihusisha na upakuaji wa mafile kinyume na sheria.
Imethibitika kuwa...
Tigo na Facebook kwa hili mnastahili hongera sana. Kupitia internet.org unaweza kutumia internet BURE kwa baadhi ya website kama BBC, Mwananchi, wikipedia etc.
How do I get Internet.org?
You...
Kwa wale wanaotaka kwa hamu kujifunza 3d animation na CGi kwa ujumla, nikitengeneza tutorial DVDs kwa lugha ya kiswahili, mko tayar kulipia ( maana wabongo tunapenda vya bure ) and what do you...
Habari zenu wadau, taarifa ni kwamba kama ume install Flashlight App yoyote kwenye smartphone yako au tablet upo katika hatari ya kuchukuliwa data zako muhimu.
Nikwamba most Flashlight App unapo...
Salam wakuu,
Habari za jioni? leo niliingia kwenye google playstore nikitaka kudownload game ya Modern Combat 5, lakini it was such a nuisance baada ya playstore kuniambia kwamba version ya hili...
habari zenu wakuu..
kama headline inavyosema nataka niweke game ya ps kwenye flash disk je inawezekana ikaplay kama navyocheza na cd? na file liwe kwenye format gani?
ni steps zipi nifate...
Habari zenu wanajamii,
I have to submit my assignment based on online banking project which includes languages such as html,php,mysql. now i am not good with developing websites... this project...
kuna launchers nyng kwa android, kwa wale wasiojua, Launcher kwa android ni sawa na themes kwa nokia phones, sema launcher zina customizations nying zaidi.
Unatumia launcher gani? Waipenda...
Nifanyeje ili niweze kuwablock kabisa hawa jamaa maana wamekuwa kero, kero, kero. Kosa nililofanya ni kuingia kwenye website yako na kuwapa email yangu tena ya kazini. Sasa imekuwa sheeda...
Tanzania ni nchi kubwa ina wasomi na wataalam. Teknolojia ya magari iko wide open na tunapoteza fedha nyingi kununua magari nje.
Swali ni kuwa kwa nini hatuna kiwanda cha magari?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.