Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Licha ya kwamba Tanzania ikiwemo katika orodha ya nchi ambazo zipo nyuma kiteknolijia, watu wametumia huu mwanya kuendeleza maisha yao kwa njia ya biashara zinazohusiana na teknolojia, zijue...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Samsung wameandaa party ya uzinduzi kwa ajili ya Samsung Galaxy Note 4. I thought it would be great to share. hope tutakutana pale :) Events Name: Samsung Galaxy Note 4 launch Party in Dar...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Naomba msaada mwenye licence key ya Pc optimizer Pro version 6.1.4.5 Anisaidie hata kuni PM au tupia hapa Nipo online any time nasubiri
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu habari za asubuhi, Nipo Dodoma mjini kabisa ila cha kushangaza sipati 3G ya Vodacom, tatizo ni nini? Natumia huawei ascend G730, kama kuna anaefahamu namna ya kui set manually naomba...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wanajamvi? Hii app niliipenda na naendelea kuipenda, lakini kila nikienda playstore siipati. Msaada wenu wakuu naipata wapi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Kwa muda mrefu nimekuwa naomba ushauri kuhusu these brands of mobile phones. Lakin naona bado sijaridhika vizuri leo nimeonelea nije rasmi kuomba ushauri kwa mwenye...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wana tech, nahitaji software tajwa hapo juu kwa ajili ya kufanya rekodi biashara yangu ambayo ni biashara ya kawaida tu. kwa yeyote mwenye kuijua anaweza nisaidia jinsi ya kuipata.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waungwana, nina gari tajwa hapo Juu, Nilimuazima Mtu akarudisha Feni ya Air condition ikiwa haifanyi kazi, Nimepeleka kwa mafundi na mafundi eti moto hautoki kwenye control. nimenunua feni niki...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
it's been more than a week now since I've been accessing my email in vain,the major fault which is regularly indicated to me is merely wrong password the thing which is'nt true,I have never ever...
0 Reactions
3 Replies
951 Views
Habar wana jukwaa binafsi sina ujuzi sana wa mambo ya computer, Hivyo nilikuwa naomba msaada. Je! naweza kudownload window 8 au 7 kwenye pc yangu na hizo set up kuziweka kwenye cd kwa ajili ya...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana hii kitu cz they make adverts kwa TV kila siku wch inawacost sana. Je wanapataje faida? mtu anipe ufafanuzi kidogo
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nataka kununua s4 ila nahofu kuuziwa clone, ni jinsi gani naweza kutofautisha clone na gunuine
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama hujui, motorola hivi karibuni wametoa mzigo mpya uitwa motorola Droid Turbo wenye specifications za kutisha. Kwa maoni yangu, overall ni simu inayotangulia mbele ya xperia z3, lg g3 na...
0 Reactions
5 Replies
979 Views
Nahitaji kujua kama nimenunua simu ya tecno ambayo ni fake, nifanyeje ilinijue ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je, ni kweli huawei y530 ina tatizo la "ku-stuck" sana?!
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Habari wanajamvi. Nimejaribu kupitia audio settings zote na profile zote lakini imeshindikana calls zikiingia tu simu inajipeleka silent mode hivyo kupitwa na calls za muhimu sana. Natumia...
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Hii simu haiwezi kuelewa command inayo anza na mfano *150*03# au yoyote kama hiyo haikubali any help ?
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Back
Top Bottom