Laptop Toshiba imezingua keyboard keys hazifanyi kazi, kwa mujibu wa mtu niliyemuachia anadai alikuwa anaisafisha na mara baada ya kumaliza kuisafisha (na fluid) ndipo tatizo likaanza...napata...
Please Check the document i uploaded for you now as i'm having problems with the attachments.
Click here to download Just sign in with your email to view the document.
Taarifa za hiyo domain ni...
Natanguliza salam. Nina digital camera ya Sony. Tatizo lililopo ni kwamba kila nikiiwasha inaganda. Yaani nikibonyeza tu kitufe cha kuwashia inaleta kwenye kioo Window ya kutaka nirekebishe...
Wakuu nasikia hilo n tatizo common kwa laptop aina ya pavilion...swali langu je inaweza tengenezeka na kama inawezekana je gharama yake n sh. Ngap...msaada wakuu maana boom limekata...
habar....jamani nina dvd yangu ya kwaya nikitaka kuiangalia kwenye laptop inagoma na inaonyesha ina 0 byte...ila kwenye deki ya dvd inaonyesha ..shida ni kwenye pc
I hope Tanzania falls under this category.
------------------------------------------------------------
WhatsApp will continue to offer its service for free to users in developing countries...
Wataaalam,ninashida na receiver ya mpeg4 HD yenye uwezo wa ku edit biss key ili niikamate vizuri PTV na nyinginezo,je receiver gani nzuri na bei gani?
Pia hiyo receiver iwe na uwezo wa kuonyesha...
Polen na majukumu wana jukwaa kwa heshima na taadhima naomba mtu mwenye utaalamu au link ya kuweza kupata vitabu vya masomo ya sayansi jamii anisaidie ili niweze ku download maana nasikia kuna...
Habari zenu wana jamvi ?
Mimi natumia huawei Y300 mwanzo ilikuwa poa tu ila sasa hivi kila niki download apps kutoka playstore inamaliza kabisa ila tatizo linakuja katika kufanya installation ya...
Habari wadau, Binafsi facebook wame block groups zangu zote na nimejaribu kuwasiliana na watu kadhaa wanasema hata wao profile zao zimekuwa blocked je na wewe hali ikoje kwa upande wako? Je, una...
Wakuu nina note 3 mpya inanisumbua kitu kimoja, yaani haiwezi kudownload iwe picha hata videos au music folder zozote, vile vile inagoma kufungua baadhi ya apps kama jamiiforum na apps za vitabu...
Natumia simu ya Huawei Y560, naweza kupost mada husika pale ninapotaka ku-Attach picha labda nashindwa kuiweka japo naona neno Attachment ila kufikia mwisho ina-fail.
Wajuzi nipeni utaalamu...
Ndug wanaJF me ni mgeni ktk hili jukwaa lakn naomba msaada wenu kuhusu hii data roaming. kuna jamaa ana cm ya vodafone vf685. cm yake ikiwa kwenye mtandao wa 2g inakuwa na speed ya 3g kwan...
Kutokana na kuongezeka kwa makazi ya watu huku ukubwa wa transformer za Tanesco zikibaki zilezile,kumepelekea maeneo mengi ambayo miji yake inakuwa kukabiliwa na tatizo la umeme mdogo hasa kipindi...
WANA JF..
Leo nimeenda kumnunulia tecno h6 wifi(shemej) yenu,nlvutiwa na simu kwasabu iliandkwa specs zake ni 8GB(ROM),1GB(RAM)..
Lakin nlpofka nyumbn na kuiwasha nkakuta kama ifuatavyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.