Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari za mchana wakuu. Please naomba msaada kwa anaejua maana imekuwa kero kwa kelele,Jiko ni aina ya WESTPOINT mafiga mawili lina miaka mitatu sasa. Tatizo lipo hapa yaani kila ukiliwasha...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
naombeni nijue application nzur za photo editing,videos na movies mp 4 kudownload kwa tecno S3
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Nimeathiriwa na virus aina ya skypee nimejaribu aina nyingi kumtoa bila mafanikio, aliye wahi kukutana nae msaada please.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu, smart phone yangu nikipiga picha ina save vizuri lakini baada ya muda picha inakuwa giza tupu haionekani. msaada wenu please.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Historia ya Computer...................
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, wataalam na wanataaluma ya IT nahitaji kuelekezwa juu ya laptop yangu hp nimekua nikitumia win8 mwaka sasa hapa katikati mwaka huu nilinunua anti virus mpya, nikaiweka cha ajabu...
0 Reactions
1 Replies
854 Views
Habari zenu wanaJF, mimi nimgeni kidgo kwenye maswala ya VPN hivyo nilikuwa naomba msaada wenu juu ya kuchagua VPN ambayo ina the highest quality kwa hapa nchini kwetu TZ
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Habari wadau?! Ninatumia Samsung galaxy s duos s7562 ambayo inamwaka mmoja na miezi kadhaa sasa.. Imekuwa na tatizo la kustack/kufreeze/kuhang nimeivumilia kwa vile RAM yake siyo kubwa (around...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Naombeni msaada kwa yeyote mwenye ufumbuzi na hii kitu! kila nikijaribu kufungua simu yangu ili niweze kutumia kama wireless kwenye computer yangu inaniletea ujumbe unaosema hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo katika pita pita kwenye simu angu nikakutana na hiki kitu ila si elewii faida ake na hasara akee so naombeni kuelekezwa simu angu ni huawei y330
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Habari za Jumapili Ndugu zangu.. Ni hivi Mwenzenu nimejipiga piga nimepata Laki 4 hapa,Nahitaji kununua Laptop Nzuri Ambayo Itanisaidiaa kwa Maishaa yangu ya chuo hapa..Mimi ni mpenzi wa Games...
0 Reactions
5 Replies
882 Views
Napata meseg hii wakat wa kuistal Bluestacks "Mmm.. it seems Bluestacks App player couldn't be Installed on this computer. we'd love to fix the problem- can you help us? search your computer for...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Jaman kwema? nina 750k natafuta sony experia z2 mwenye nayo au duka ujualo naweza pata kwa hiyo bei karibu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hili tatizo limemtokea rafiki yangu..alinunua simu ya tecno A3+ Dar es salaam november 2013 jana simu imezima! haiwaki mafundi wamejaribu kuitengeneza wapi wataalamu unazijua hizi simu mnisaidie.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Naomba msaada wenu wakuu na wataalam wa JF. Simu yangu ni tecno p3, sasa kila nikizifuta messages baada ya muda huwa zinarudi zote kana kwamba zijazifuta, na nimefanya hivi zaidi ya mara 10...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
naomba mwenyekujua ufumbuzi WA tatizo hili kifaa changu kimeharibika touch screen lakini picha inaonekana ni Sony experia z1 tablet kwa yoyote mwenye mawazo please nisaidie niirudishe katika...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Wakuu naomba msaada kwenu nimenunua simu mpya HTC DESIRE 510 ila Internet iko slow sana nisaidieni
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Habari yenu Mimi ni miongoni mean wachache wanaomiliki blog hivyo basi napenda kuuliza source inayoweza kunipatia pesa online other than Google adsense
0 Reactions
18 Replies
4K Views
ina miez miwil tangu niinunue,ni ram 4gb,i5-2.3ghz processr,hdd 500,32 bit op system. Inazngua keyboard keys.ukibonyeza k inaleta f,nk.pia haisomi biometric devices. Nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
813 Views
wadau habarini, naomba msaada wenu kwa anae jua hii cm itel smartphone 2line yenye ukubwa wa 2.2 . Je ni nzuri na bei yake kwa sasa ni shlingi ngapi kwa tsh. Cc: Chief-Mkwawa na wengine
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom