Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana Jf Wapi naweza pata cable tajwa hapo juu
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Habari wana JF, Nina USB flash ndani ina files muhimu sana. Ninapotaka kucopy vitu vilivyomo ndani ya flash hiyo inagoma, nikitaka kuingiza kitu chochote pia haitaki. Nimejaribu kuiformat ndio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau napenda kujifunza kutengeneza simu,,,,hasa software,,,,,,ku unlock na ku flashing ,,,.mwenye ujuzi plz ......
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Siku hizi kumekuwa na trend ya watu kujitangaza kwamba wanafanya website development and design, development of web apps, seo marketting, business email na biashara nyingine zinazohusiana na...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu mwenye dashboard tajwa hapo juu naomba uniwekee hapa coz nime-google bila mafanikio. Natumia modem ya voda zte K3772-z
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Topic: Enable universal acceptance of mobile money payments to create an economic ecosystem that will help lift the poorest out of poverty The Challenge: We are seeking novel solutions that...
0 Reactions
1 Replies
752 Views
Nimejalibu kutumia usb bootable imegoma
0 Reactions
2 Replies
857 Views
Ndugu zangu naomba walio na maarifa kuhusu teknolojia ya umeme wa jua wanipe elimu hivi yawezekana ukawa na umeme wa jua katika nyumba yako na ukatumia umeme kwa vyombo vyote ulivyo navyo kama...
0 Reactions
29 Replies
17K Views
http://youtu.be/05TGNfXkjUI Microsoft's first Lumia device is being officially unveiled as the Lumia 535 today, a low-cost smartphone that underlines exactly where the company is heading with...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Programu inayoharibu mifumo ya kompyuta inayoaminika kutoka uchina inalenga kompyuta na vifaa vingine vya kampuni ya Apple. Kampuni ya Usalama Palo Alto Networks inasema kuwa programu hiyo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msaada pls kuna website nimejiunga wanataka nivalidate account kwa kuwatumia passport/driving licence or national ID pamoja na utility bill. Nimetuma scanned document driving license na karatasi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni ile ya 6,000/= Imetoka 10GB sasa ni 8GB. Msg ya kwanza ni niliponunua last week, hii nyingine ni leo.
0 Reactions
39 Replies
5K Views
mara nyingi nikiingia site mbalimbali either ku-download au ku-create account sehemu naulizwa ZIP CODE na hii mara nyingi baada ya kujaza nchi yako,,je ZIP CODE NI KI22 GANI?afu kama ni hivyo hiyo...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Wadau, Kuna mambo yangu mengi yanakwama kwa kutofahamu Graphic Design. Na kwa kuwa nakuwa na mahitaji ya mara kwa mara imenithibitikia kwamba nahitaji kufahamu hili jambo kuliko kutegemea watu...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kwenye sim Kuna pdf built in. Lakini nikiitafta siion had ni nifanye kufungulia file ndo inakuja... Nawezaje kupata bila kufungulia file ?
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Habari za jioni wadau wa jukwaa la tech. Nina tatizo moja, simu yangu aina ya vodafone v875 smartmini imekataa kufungua (unlock) pattern nilizoweka. Tatizo lenyewe limeanza leo. Wamenambia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
How Much Data Does The internet hold on You?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
msaada kwa wakuu kama mtaweza kunisaidia juu ya kupata software ambyo nitaweza kuitumia katika kutengeneza cds au dvds ambazo zcwezwe kukopiwa !! msaada kwenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Workers install fibre optic cables in Kimihurura, Kigali, on Sunday. (Timothy Kisambira) The much-awaited Fourth Generation Long-Term Evolution (4G LTE) Internet is now ready for launch and will...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina notebook aina ya Packard Bell win7 starter. Imegoma kuwaka.Inaishia kusema: wimdows recovery, itakaa hapo hata saa 1. uki command Start Repairing basi itazubaa hapo itawakia kwenye DOS...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Back
Top Bottom