http://youtu.be/z4PwsniY-EY
The original YotaPhone caused a stir with its radical dual-screen design. Well the Russian firm is back with a second generation smartphone which improves on the...
Nisije kujuta jamani Nina mpango wa kununua hii simu Nokia XL ila sijajua ubora wake na uzuri wake kiujumla mi nimeipendea size yake na kimuonekano kiujumla naomba wazoefu mnieleze ubora wake...
Kwa wale mnaotaka kutengeneza gari zisizotumia mafuta ila zinazotumia umeme
Jifunzeni kupitia video hizi hapa
part 1 https://www.youtube.com/watch?v=QgTpFFLOgtk
part 2...
Wadau kwa mwenye ufahamu juu ya software ya kuweka caption kwenye image kama hiyo hapo juu anitajie tu jina au link kama itawezekana natanguliza shukrani.
Here is your chance to be the star among the Developer community and win great prizes including super cool gadgets and an all paid trip to Mobile World Congress, Barcelona, Spain.
Vodacom App...
Msaada Please Nilikuwa nataka ku update kwa kutumia hii CM11 coz simu yangu ilizinguaga nikapeleka kwa fundi akaiflash sasa siwezi ku update kupitia ota.
Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya ku...
Habari wandugu, kwenye pita pita yangu kwenye mitandao hasa hii ya online shopping, kuna baadhi ya simu kwenye description zimeandikwa 'sim-locked withot contract', nini maana yake hiyo?
Android Lollipop vs Android 4.4 KitKat comparison review: What's the difference?
Free
Manufacturer: Google Android
By Chris Martin | PC Advisor | 14 July 14
Google has announced Android...
Kwa wale watundu wa mambo haya aka wajuzi wa android open source project....
Naomba tupeane uelewe juu ya ipi rom bora kwa Sim Kwan Kuna simu tayr manufacturers wamezitelekeza ila kwa kutumia...
Nimenunua huawei Asend 530 lakini inatumia line za tigo tu na tigo inasumbua sana kwenye intenert, naomba km kuna mwenye ujuzi wa kuifangya itumie line zote.
Hi wote!
Jamani nisaidieni mwenzenu kwa anayejua jinsi ya ku delete contact kwenye WhatsApp
mimi ninachojua ni kuweza ku delete kwenye conversation tu,lakini huku kwenye Contacts nashindwa
na...
Hi.. nawalete feedback..
Baada ya kuplace order on 29/10/2014 the item was shipped on 30/10/2014... then ikawa fowarded to international logistic company on 4/11/2014 then leo nimetrack...
Kama kuna mtu anajua kuinstall na kuprogramme LND ani pm lakini au alishawahi kufanya hiyo kazi before sehemu nyingine. Kama yupo ani pm nimuunge na mtu faster kwa deal la fasta.
Historia mpya yawekwa baada ya wanasayansi kutoka ulaya kutua kwenye kimondo kinachojulikana 67p/churyumov-gerasimenko.
baada ya safari ya miaka kumi katika anga za juu chombo cha anga za mbali...
Habari za kazi wadau naombeni ushauri nataka ninunue system ya Hotel Online reservation kwaajili ya Hotel yetu sasa payment zilizopo katika system ni credit card na paypal. Je nawezaje ku-link...
Habari wadau .
Naomba ufumbuzi kwa tatizo hili..
Natumia HUAWEI Y 300 ,Kuna site flani nimeahindwa kufungua kabisa .
Nikifungua inaniweka kaalama cha kufuli na page inabaki black.
Site...
kama browser yako inanesanesa na kuchelewa nenda kaguugli ,utaweza kupata maelezo ya kina ,na utaona furaha ni kwa jinsi gani broza yako inakata mbuga.
kwenye firefox address bar type...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.