Habari wana JF, nimenunua Samsung Galax Tab3, lakini internet bado siipati nimejaribu kupiga simu Vodacom, kuomba wanitumie configuration sms, lakini wamesema kuwa simu aina hii inafanywa...
Habari za leo wapendwa?
leo kuna kitu kuhusu hizi movies sanasana hizi series za kikorea. unaposearch kwa kupitia google, unaweza kuzipta sara. tatizo linaijia unapoclick ili uangalie...
Is the IXP in Tanzania privately owned or non-profit? How are the local ISP participate?
Is there a room for more IXP?
Thanks
https://www.youtube.com/watch?v=KL7DMrEAEMI
Wanajamii tumekuwa watumiaji wazuri sana wa internet,kwa kutumia vifaa mbali bali i.e computers,laptop,smartphones na hata mobile phones imekuwa rahisi kupata habari za kitaifa na kimataifa.
Je...
Nina Desktop ya zamani kwa kiasi fulani, aina ya IBM 2.8 Ghz, 2 GB Ram single core.
Tatizo ninalolipata haiwezi ku boot kutoka kwenye flash disk, kwenye boot sqeeze hakuna option ya USB ila kuna...
Habari za mchana wadau wa jukwaa
Kwa wale mnaotumia simu aina ya Samsung Galaxy note 3 clone, na ulishawahi kuifanyia simu yako hard reset na ikapoteza logo yake ya samsung unapoizima na...
Habari za saa hizi?
Naomba msaada kwa TV hii aina ni BAUHN model: ATV-19HED2 toleo la muAustralia.
Hii TV ina mwaka sasa tangu niinunue na kuanza kuitumia.
Tatizo ililonalo kwa sasa, power...
Za sahizi humu ndani?
Naenda moja kwa moja kwenye point. Mimi niko tigo, nampigia mtu wa tigo halafu nakutana na hii kitu "Thank you for choosing Vodacom blah blah blah." Ni mara kadhaa sasa...
THE COMPANY
OnePlus is a smartphone manufacturer in China founded on December 17, 2013. OnePlus is headquartered in Shenzhen.
OnePlus was founded in December 2013 by Pete Lau, previously Vice...
Nashindwa kutumika ms word,excel na power point bila internate kwenye Apple iPad 2, lakini pia nashindwa kuiingiza document na files kutoka kwenye computer,hata music au movies pia nashindwa...
Husika nakichwa cha habari hapo juu, ningependwa kujuzwa niwapi nawezapata kioo cha iphone 4s, nahitaji kubadilisha sababu simu yangu imechoka kioo ila bado iko pouwa nakwasasa sihitaji kununua...
Ninatumia Sumsung galaxy S5 lakini nashindwa kuthibitisha kama ni copy au original.Siku moja nilifanya restarting simu ikafuta IMEI hivyo ikawa haina internet access je inasababishwa na nini...
I gat another samsung galaxy s3 inashida moja nikiplay music speaker in a to a sauti then ila Niki piga cm spika haitoi sauti na hats nikichomeka Earphones then nikapiga cm sauti haitoki ila...
Guys msaada kwa anayejua.
Nimesahau pattern za cm yangu ninataka kufanya hard reset but nkifka ktk recovery mode inanionesha white triangle with yellow exclamation mark.
Wakuu nataka nijulishwe ni wapi naweza pata mafunzo ya kutengeneza simu hardware na software, au kama kuna chuo niende kusoma au kama kuna mtu anaweza nifundsha kwa malipo but sharti awe na ofisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.