Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa wale mafundi wenzangu hiyo tv ni 32" inawaka vizuri na lakini kwenye kioo hamna kitu ni mwanga mweupe ila sauti inatoa picha ndio hakuna naomba msaada wataalamu au mwenye kumjua fundi anipe...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Napenda nisaidiwe kujua huu mkonga wa taifa ni nini?. Una tofauti gani na mikonga mingine tuliyonayo. Hapo hapo kuna faida gani kuwa na mikonga na kutokuwa nayo.
1 Reactions
9 Replies
19K Views
Nina sch-1800 galaxy tablet veriZon wireless, tatizo ni suala la betri lake nauliza kuna uwezekano wa kubadilisha maana nimefungua ndan linakua kama liko fixed. natanguliza shukran
0 Reactions
0 Replies
944 Views
10.Google Nexus 5 09. Samsung Galaxy s5 08.Sony Xperia Z3 07.Nokia Lumia 1520 06.Sony Xperia Z3 Compact 05.Iphone 6 plus 04.Samsung Galaxy Note 4 03.LG G3 02.IpHONE 6 01.HTC one M8
2 Reactions
63 Replies
8K Views
Wadau hii simu haitaki kuwaka wala ku hard reset...ukiwasha ikitokea hii logo ya voda ndio mwisho. Nifanye kitu gani wadau
0 Reactions
2 Replies
993 Views
All your favorite dev tools and more Firefox Developer Edition brings your core dev tools together with some powerful new ones that will extend your ability to work across multiple platforms...
1 Reactions
3 Replies
936 Views
Nataka kununua simu, kati ya tecno h5 na tecno. Je ipi ni bora?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The landing by the washing machine-sized craft after a decade-long journey required immense precision, as even the slightest error could have resulted in stellar calamity. Indications were that...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Using command script Click start menu, on the search form type cmd then a command prompt will appear, click on it After that type SLMGR/REARM then press enter. Restart your computer and its gone...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
(MEANING OF POKE IN FACEBOOK)HII NDIO MAANA HALISI YA "POKE" KWENYE FACEBOOK AMBAYO WATU WENGI HAWAIFAHAMU Unaweza ikawa unaelewa maan ya poke kama ni salam ya kumpa kama vile mambo lakini ku...
0 Reactions
1 Replies
15K Views
Wadau naombeni kuuliza bei ya screen display ya hii simu ni shilingi ngapi? nimeenda maduka ya kariakoo kule wakaniambia hazipo! naomba kwa mtu anaefahamu sehemu nitakayoweza kuipata! niko Dar-Sinza
0 Reactions
0 Replies
681 Views
iPhone 4s haikubari service za money transfer kama mpesa na tigo pesa, je kuna uwezekano wa kurekebisha hilo tatizo?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau nashukuru kwa mara nyingine tena kuja katika jukwaa hili nikiamini kuwa kina wataalaam wa tecnojia ya mawasiliano wakiendelea kuakikisha binadamu hatupati shida kwa mahitaji yetu ya kila...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Guys natakakununua Samsung Galaxy s3 kwa mtu ambayo INA costom ROM CM11 sasa kila nikijaribu kuingiza code tofauti tofauti kama *#0*# or *#9090# hazileti matokeo yoyote he nikitu chakawaida na je...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nimejisajili paypal karibia mwezi sasa lakini akaunti yangu haijawa activate ,wamenitumia email wanadai kuna baadhi ya vitu inanibidi nikamilishe ili akaunti iwe activated,tatizo liliopo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mtu unaweza kununua simu hujui yawezekana labda iliflashiwa itumie lain zote tofauti na mwanzo kama tunavyozijua simu za Tigo, sa n vitu gan vitanisaidia kujua kama simu(smartphone) imeflashiwa au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi Guyz!!!! nina simu yenye window phone 8, NOKIA LUMIA 720 Imepata tatizo katika batani zake za pembeni, zile za kuongezea saut na ile ya kutoa simu katika lock (power batan), nilijaribu kupeleka...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Nime nunua Huawei y550 lakin kwenye notification panel haifanyi kazi yaani iko disabled..sasa najiuliza hii simu ni original kweli? Nilinunua pale splash Posta.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau nashukuru kwa mara nyingine tena kuja katika jukwaa hili nikiamini kuwa kunaa wataalaam wa tecnojia ya mawasiliano wakiendelea kuakikisha binadamu hatupati shida kwa mahitaji yetu ya kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom