Tafadhari wadau,
Naomba Msaada kutengeneza project ya vb.net na visual studio 2008.. so hw to connect wit database.. az well variable declaration.. at least nko familiar na vb6.
ndugu zangu nilipoteza samsung galaxy s3 week 2 zilizopita alafu niliinunua ebay cm hiyo ubay nilifuta e-mail so ikawa ngumu kupata imei number ya cm but niliwasiliana na seller alieniuzia bahati...
Tafadhali naomba msaada wa haraka email yangu ya hotmail kuna mtu kaingia na kafuta email fulani fulani tu naripoti wapi na vipi hata hapa dar wapi niende
Hi Friends, Now a days Major problem we face is Laptop Over heating. Laptop users Are always worried of Laptop Overheating, Laptops require A great care from our side so that it keep on running...
Wadau nimeangusha simu yangu samsung galaxy gland na imepasuka kioo cha juu ingawa inafanya kazi ila nahitaji kubadilisha kioo niko tabora kama kuna mwenye kujua naomba ushauri au maelekezo juu ya...
Jamani naomba msaada kwani natumia samsung s3 na lg3 na ipad ya dell sasa kila nikitaka kuangalia videos kwenye blog ya rahatupu inakataa na kunijibu kuwa mpaka ni download video plugins, dada...
Habari wandugu,
Natafuta Software zifuatazo ambazo naweza kupata kwa bei poa hapa hapa dsm
1. SPSS
2. Minitab
3. Management Science (Any software capable of Solving huge problems such as 10...
Wakuu, Nililetewa simu samsung galaxy S4 kutoka nje ya nchi ikiwa rooted tayari. Tatizo likawa kila nikiiwasha badala ya kuandika "Samsung galaxy s4 Gt- I 9505" yenyewe inaandika maneno haya...
mwaka huu tumeona flagship za sony, htc na samsung(xperia z, htc one na s4) na bado hatujaona ya nokia, apple na lg. lakini leo ni siku ya lg watakapozindu flagship yao mpya itakayoitwa g2...
Nataka kununua híi simu mda si mrefu.. Naomba mtu aliye na uzoefu nayo anipe detail zake zote wakuu, je ni simu nzuri kwa matumizi, n.k n.k.
Au kama kuna maoni tofauti na ungependa kunishauri...
Habari zenu.
Mafundi wengi wa sonara wamekuwa wakitumia mitungi ya gesi kuzalisha joto linalotumika kuyeyushia vitu kama dhahabu. Ninawezaje kuzalisha joto hili linaloweza fikia nyuzi joto 2400...
Wakuuu, laptop yangu inatumia window 8 sa iv juzi kat apa kunam2 nlimwazima sa imerud inawaka vizuri, sehemu ya kuweka password pia inaleta tatizo linakuj pale unapotaka kuingia kweny desktop...
Tukio Lingine limejitokeza hivi Karibuni IPHONE 6 ikiwaka moto !
Raia mmoja wa marekani amekutwa na Mkasa wa Kuungua Pajani Ambapo aliiweka simu yake ''Iphone 6'' mara baada ya simu hiyo...
Ving'amuzi vnazidi ongezeka nazan huduma zitakua bora zaid na kupungua kwa gharama kwa cc watanzania, sabab ya ushindani, hv hawa DIGITEK dish la setellite lini ili waonekane nchi nzma? na mbeya...
SWALAMA WADAU!
Nina play station 2 ambayo inanisumbua sana maswala ya lense. inaharibika mara kwa mara na fundi anaenitengenezea naona haeleweki.
Naomba nijuzwe kama kuna mtu anaemujua fundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.