Wanajamii naombeni kuuliza maana naona sasa kidogo imenichanganya, maana naambiwa receiver hii SRT 4922 ndo bora na wangine wameniambia kuwa hii Q23g ndo bora zaidi katika kureceive fta
So...
Leo nimeanza kutumia app ya tigopesa kwenye simu ya android Note 3 App iko poa sana ukizingatia ni toleo la kwanza. The app is faster, accurate and above all much more convenient to use...
If there's one thing I've learned about Apple's dealings with SIM cards in the past seven years, it's that Apple gets what Apple wants.
The little gold-plated circuits - which identify you as a...
Unlock Iphone Free 4 - 5s works as standalone application from your desktop.
Who uses a cheap copy? When the original does the same thing for same price !
For risks and side effects ask your...
wataalam tusaidieni step by step za kutumia laptop kujipatia wireless internet kutoka kwenye simu ya mkononi bila kutumia moderm au usb cable. mi simu yangu ni itel version 2.3.5 na laptop ni acer...
Tumezoea kuona makampuni ya simu makubwa kwa madogo yakileta simu mpya especially flagships na kuongeza tu ukubwa wa kioo, ram, memory, na kuigana mara wireless charging, water resistant, etc...
Kati ya mambo yalikuwa yananiboa kwenye hizi keyboard za simu ilikuwa ni auto word corection na word prediction. Maana kimsingi me natumia sana kiswahili kuliko lugha ingine, so ilikuwa inaniletea...
Habari zenu wakuu.Poleni na mihangaiko ya maisha.
We all know this forum has some talented people.Nimeanzisha hii thread, so that you guys can share and tell the rest of the community what you...
Nna huawei y-530 nimeweka 8gb card lakin cha ajabu nkiingiza vtu ikafika ujazo wa 20mb havisomi kama ni picha ukiingza inaandka "cant load this file" nkiweka nyimbo inaandka "this file doesnt...
Cloud and Dedicated servers that are backed with Enterprise grade SSDs (Solid State Drive) enabled by Redundant Array of Independent NAND (RAIN) show a very noticeable improvement over their other...
Wakuu nina kama miezi sita sasa tangu nilivyoanza fanya manunuzi kupitia mtandao. lakini kuna kitu kimoja bado kina nichanganya nimeagiza mizigo midogomidogo (wallet, charger etc) mingi tu na kwa...
Habari wanajnvi wenzangu,
Nilinunua bb9900 kwa mtu Dar, sasa dogo nilie mwagiza anichukulie huwaga anajifanya mjuaji sana, baada ya kuichukua akai factor reset, haikuwaka tena, ikawa ukiwasha...
Guys, am preparing excel spreadsheet with more texts than numbers. Tatizo ni kwamba, hizi texts zipo in multiple paragraphs ambazo zimekuwa prepared kwenye word processor. Problem ni kwamba...
Wakuu kuna simu nataka kununua na ina specifications kama ifuatavyo
Je ni kitu gani hakiko vizuri? Maybe ni feature gani iko outdated ama labda simu itakuwa na weaknesses zipi?
General
2G...
Introduction
So how do I use a multimeter? This tutorial will show you how to use a digital multimeter (DMM), an indispensable tool that you can use to diagnose circuits, learn about other...
Habar wana JF mm nilikuwa na shida ya kufanya mtihani wa cisco kwa hyo nikaamuwa kudownload video za tutorial na kitabu cha ccna kipo complete sasa nilikuwa nahitaji kufahamu nitawezaje kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.