Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop...
2 Reactions
3 Replies
581 Views
naombeni msaada kama kichwa cha msg hii kinavyojieleza hapo juu namba yangu nikijiunga na whatsap inaniandikia you need the official account to use these.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wandugu nahitaji kununua darubini kionambali naomba kama kuna anayejua aina zake ubora wake bei zake na mahali zinapopatikana hapa tanzania. Na je sheria hazina tatizo juu ya umiliki wa darubini...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Je, unapata matatizo na huu mtandao wa PayPal? Inbox chap chap nikusaidie.
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Wadau niaje? Naomba kujua kwa wenye uzeofu na subwoofer, ipi ni brand nzuri, ina mdundo mzuri na inajitahidi kudumu. Ukiweka na bei utakuwa umenisaidia sana!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau wa JF nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania. Naomba ushauri wa kitaalamu na uzoefu wenu, nichukue simu ipi kati ya hizo mbili hapo juu Kwa kutazama Performance, quality...
4 Reactions
87 Replies
5K Views
𝗝𝗶𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗼𝗻𝗱𝗼𝗮 𝘃𝗶𝗿𝘂𝘀𝗶 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗳𝗹𝗮𝘀𝗵 ! [emoji189] Ghafla flash , memory card yako imeingliwq na virusi utafanyaje? Okay Leo nakuelekeza jinsi ya kuweza kuondoa kirusi anaitwa shortcut virus...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja...
0 Reactions
2 Replies
690 Views
Wakuu salama umu? Kuna simu nilikuwa nayo ukipiga simu inakata mtandao mpaka umalize kuongea na mtu sasa nimebadili simu na natumia. Voda ila nikipiga simu internet haikati isipokuwa ina...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu matumani ni wazima naomba kuuliza kati ya Samsung note 9 na redmi note 10 pro simu ipo ni nzuri nataka nichukue moja wapo kati ya hizo bei kwa sasa zinalingana
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu, niwe brief ili nanyi muwe brief na hatimaye nielewe, Ni njia gani salama ambayo supplier anitumie vitu vyangu nikiwa mkoa tofauti na Dar Es Salaam? Kuna njia nyingi suppliers...
1 Reactions
41 Replies
13K Views
wakuu salam Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english. Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot) File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 "...
2 Reactions
6 Replies
488 Views
Wale wapenzi wa games. Ikumbukwe hili game halijawahi kucrakiwa tangu mwaka 2016 litoke. Sasa linatolewa bure hadi tar 8 mwezi wa 9. So chakufanya ni ww kudownload pc app ya uplay then jisajili...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Usichokijua kuhusu Tecno camon 20 Premier Tecno wameamua aisee mwaka 2023 ni mapinduzi ya teknolojia tu, Leo nakuletea makala kuhusu Hii simu ya Tecno Camon 20 Premier 5G ambayo iliachiwa mwezi...
11 Reactions
121 Replies
10K Views
Habari wana JF, kuna habari nmekutana nayo uko instagram, kuna vijana wanawaongezea watu followers, like, views, na vitu venginevyo katika page zao za mitandao ya kijamii. Mambo yanaenda mbio...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
CHIEF MKWAWA na manju wengine wa IT naombeni ushauri wenu. Kwa budget isiyozidi 800k laptop gani itanifaa.
1 Reactions
9 Replies
773 Views
Jamani WhatsApp wameniambia namba yangu ya WhatsApp iko Banned ila sijui chanzo wala tatizo nililolifanya naombeni msaada jamani.
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Habari wana jamvi. Naomba kuuliza, kifaa kinachotumika kurusha matangazo mubashara ya YouTube kinaitwaje na nakipataje, na vipi bei zake?
2 Reactions
2 Replies
695 Views
Mwenye tatizo la kufungiwa WhatsApp (WhatsApp banned) nicheki kwa namba 0684448888 tuone namna gani ya kusaidiana.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom