Habari zenu, Nataka niongeze kipato nje ya mshahara wa ajira, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya ps,
gharama nilizopangilia, naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe...
Katika kipindi cha miaka 5 kumekuwa na ongezeko la Watumiaji 16,327,131 wa Huduma za Simu Nchini kutoka 47,685,232 mwaka 2019, sawa na 88% ya Idadi ya Watu hadi 64,088,651, sawa na 101.5% ya Idadi...
Wadau naombeni msaada wa maelekezo, kwasasa nashindwa kabisa kushare doc za pdf, camscanner n.k via whatsap, tayari nimefanya update kwa application zote ila bado changamoto bado.
Naomba msaada...
Kama ilivyo kwa vyombo vingine basi na hata rocket pia nayo hutumia engine ili iweze kufanikisha utendaji kazi wake na mara nyingi tumekuwa tukiziona tu nakuzichukulia kawaida sana bila kujua...
Msaada mwenye kujua android app ya uhakika ambayo itanisaidia kudownload mp3 music au videos mbalimbali kwenye simu.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Huawei ambazo hazisupport Google Apps kama Youtube, Playstore, nk, Nimetengeneza solution ya tatizo hilo kwa kukupa app ya Youtube inayofanya kazi vizuri bila...
Wakuu mambo vipii
Naombeni mnisaidie majibu kwa wale ambao wameshatumia sim hizi zote mbili,nataka nijue kutoka kwenu sim ipi ni bora kati ya iPhone 12 plain na iPhone 11pro, kuanzia kwenye picha...
Wakuu nimejaribu kuclone app ya Threads kutumia Flutter.
Nimeweka repository kwenye github yangu 👇
🔗 GitHub - heisabdallah/threads_clone: A cloned threads app
Ya kushoto ni cloned version. Ya...
Wakuu ni hivi mwezi wa Tano mwisho Kila nikibinya button ya kudownload inkugoba kuendelea kwenye kupakua je ni tatizo la mda mfupi au ndio mabeberu wameamua kulinda teknolojia zao
Habarini Wadau wote humu. Naombeni msaada nahitaji kujua simu yenye kamera inayotoa picha Bora zaidi kwa matumizi ya kibiashara. Picha inayoonesha uhalisia wa kitu na mazingira. Ili wateja wakiona...
Nimenunua simu ya Infinix HOT 12i hata mwaka haujaisha juzi ghafla imekufa bila kudondoka hai display chochote naombeni msaada tafadhali anayejua sababu
Nimekutana na mtu ana Bluetooth speaker inaitwa Lenyes s106,ina mziki mzuri sana ni ndogo lakini ina Bass nzuri, mwenye kuzijua tafadhali, kabla sijafanya maamuzi ya kuinunua, ubora wake ukoje?
Akili Bandia ya Bard ambayo inamilikiwa na Google ili kushindana na Akili Bandia ya ChatGPT imefanya mabadiliko.
Google Bard imeongeza upatikanaji wake kwa lugha zaidi ya 40 ikiwemo lugha ya...
Kama ulidhani kuwa Samsung Galaxy S23 Ultra na Xiaomi 13 Ultra ndio simu bora za Android mwaka 2023 basi hujaiona simu mpya inayotarajiwa kuachiwa kesho July 11 kutoka kwa kampuni ya Kichina ya...
Habari za muda huu wajameni natumai mko salama kabisa nami ni mwingi wa afya. Baada ya salamu husika na kichwa cha uzi huu hapo juu.
Dah leo app ya Azam Tv Max kwangu nikiifungua inaniandikia...
Heading inajieleza wana jamvi,
Hawa Tigo huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri.
Wakuu habari za humu, naomba msaada wa kutajiwa TVs bland nzuri kwa bei ya laki mbili mwisho ndo bajeti yangu, nipate tv flat inayoendana na hela yangu, natanguliza shukrani 🙏🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.