Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa wanaotaka muongoza au njia nyepesi ya kuwa rubani. Hapa nawalenga wale wa long haul. Kurusha pipa kubwa la masafa na wala si hutu tu panzi na tupepeo twa kibongo. KARIBU
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Whasap yangu sioni sehem ya lock chat na pia ile sehem ya voice note kwangu haikubali kuonesha video kam whasap wanavodai wameongeza vitu hivi. Whasap nimeiupdate lakini sion kitu, msaada please.
0 Reactions
2 Replies
305 Views
iOS 17 beta ina tatizo UPANDE wa sms sms hazitoki
0 Reactions
10 Replies
892 Views
Twitter ni mtandao wa kijamii unaotumiwa na zaidi ya watu million mia moja kwa mwezi. Ni moja kati ya mitandao maarufu duniani nyuma ya Facebook. Twitter inakupa uwezo wa kuwasiliana na marafiki...
0 Reactions
9 Replies
12K Views
Wataalamu nahitaji msaada wa utambuzi wa uwezo wa hiki kifaa kabla sijayakanyaga maana nataka kulipia
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Apple wameleta feature mpya kwa ajili ya afya ya macho kwa watumiaji wa Simu za iphones na ipad. Itaweza kukusaidia kulinda macho kutokua makavu wakati unatumia simu. Feature inaitwa " screen...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Version---R554 (Satstar S6HD) 1, Added FTP update (Note: you can update new sw by 3G/4G/Wifi/Rj45 cable in the future) 2, Added Free IPTV live more than 2000pcs online
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Hbr wakuu poleni pia na sakata la dp world Hoja Ninataka nimunulie wifi / shemeji wenu simu ya oppo au vivo ili niboreshe penzi ,SAS nauliza Ni ipi nzuri na durable .,na je Hawa kikuu Ni watu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu natumaini mpo powa leo naomba watu wenye uelewa wa kutengeneza beat kwa FL studio wanisaidie. Mimi nina idea ya kutengeneza beat ila kuna vitu sivijui kupiga live kama...
0 Reactions
58 Replies
15K Views
  • Poll Poll
Habari Jf, Baada ya kuangaika sana katika harakati za kutafuta sehemu nzuri au kampuni nzuri itakayoweza kutoa Internet nzuri ya nyumbani na ofisini kwa gharama nafuu. TTCL : Nilitumia ka muda...
2 Reactions
5 Replies
891 Views
Bei ya Epson 3050 na 3110 zipoje na tofauti yake kiubora ipoje
0 Reactions
2 Replies
280 Views
Hii ni offline app niliyoitengeneza kwa ajili ya matumizi binafsi kwa lengo la kukokotoa jumla ya mauzo ya siku katika fremu yetu ndogo. Nimeiweka Playstore ili kushare na wengine wanaohitaji. Kwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Watu wengi wamekuwa wakihoji swala Magari kunasa katika njia ya Treni, na Madereva Kuyatelekeza Magari yao na kukimbia. Sumaku ya Treni Haiwezi kusababisha gari kukwama Katika Njia ya treni...
3 Reactions
1 Replies
675 Views
Habari wadau, natumia oppo A 55, nimejaribu ku-install snatube app lakini haikubali naomba msaada nijue nakwama wapi au nifanyeje. Nimeshaitua kwa simu ya awali Oppo A 16 na huawei.
0 Reactions
2 Replies
239 Views
Habari ya saizi, Kuna hii tip mpya ya kutag kila rafik yako kwenye comments Facebook, naomba msaada unaiandikaje?
0 Reactions
3 Replies
352 Views
Leo nitagusia kuhusu Sproutsgigs.Hii ni website ambayo unaweza jiingizia hela yako kwa kufanya task (kazi) utakazo kuta umepewa kwenye dashboard yako.Lakini pia unaweza toa kazi kwa mtu...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Siku ya majuzi jumapili. Sina hili wala lile wakati vitu karibu vyote vya mbele viko on? Radio (av receiver) tv na pc. Ghafla tu vikazima mara naona moto katikati ya waya wa cable. Haraka...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Jana nilisoma ujumbe sehemu kuhusu app inayoitwa Boxreta kwamba ni app ambayo inauwezo wa kumsaidia mtumiaji aweze kusoma meseji za mtu mwingine. Swali langu kwa waliowahi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakubwa naomba msaada wenu simu yangu inanitaka ku update na inaniletea hiyo notifications hapo chini[emoji116][emoji116]je nifanye Nini nifuate maelekezo au nikiyafata naharibu sim. Naomba...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Welcome X [emoji3] Tajiri wa ulimwenguni Mr Elon musk ambaye anasifika kwa kupenda kufanya maamuzi ya kivyakevyake, Leo ameanza mchakato wake wa kubadilisha maisha mapya wa mtandao wa Twitter...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom