Leo nilikua na brother tumetafuta sana azam king’amuzi tumefeli kupata dish lakin zipo antenna. Tumezunguka sana mpaka tukaenda kariakoo tukakutana na mawakala wa azam wanakwambia dish unapata kwa...
Ninampango wa kununua camera kwa ajili ya kufanyia biashara ya upigaji picha kwa matukio kadhaa sitakua na studio kwa sababu biashara hii ni ndogo. Ikishakua kwa baadae nitafungua studio
Nahitaji...
Je?l, umekuwa sehemu ya watu ambao wana kerwa na Email za matangazo kwenye G-Mail yako.
Pole kwa hilo na tuwie radhi kwa kuchelewa kukufahamisha namna ya kuyaondoa, Fanya hivi
Ingia kwenye...
Muda umepita sasa toka vodacom na Tigo walipotangaza upatikanaji wa 5G kwa mtandao wao.
Kwangu sijapata kuona kabisa katika simu nilizotumia network kupanda kwenda kwenye 5G.
Nimeangalia band...
Nipo mbali na TV nikataka kuangalia azam tv kupitia azam tv max app.
Nimeambiwa smart card no yangu kuna mtu tayari anatumia.
Sasa nawezaje kusitisha ili nitumie mwenyewe?
Tumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth
Umeshawahi kutumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth kupitia simu yako ? Najua wengi tunaotumia simu kwenye mambo mengi tu ila wengi hatujui tunaweza share...
Mifumo hii imeanza kutengenezwa 2013, sasa imekamilika. (Natafuta fedha ya kutengeneza mfumo Fulani imayotumia AI). Mifumo hii ya kuangalia matokeo unaweza kuiprogram kama chombo cha cassini...
Wale wakongwe wa ganda la ndizi rasmi jana wire tun waipiga pin kutoruhusu hata sumni ya data kutumika kaika internet haya tununue bando tukuze kipato cha nchi yetu.
Android ni mmoja wapo wa mfumo maarufu wa Uendeshaji wa simu unaotumika sana ambao umetengenezwa na Google.
Simu nyingi unazoziona Leo pamoja na kompyuta unazoziona sehemu mbalimbali zimetokana...
Ni rasmi sasa unaweza kutumia App original ya ChatGPT iliyoundwa na OpenAI na Microsoft.
Ikumbukwe Akili Unde hiyo ilikuwa ikipatikana katika Computer pekee.
Internet privacy company Proton announced Wednesday a new VPN Observatory, tracking demand for its services to detect attacks on free speech in countries like Russia and Iran before they hit the...
Kwenye miaka ya sabini, ndege zilizokuwa maarufu sana ni DC9 iliyokuwa inatengezwa na kampuni ya MacDonnel Douglas ya huko Missouri kabla haijanunuliwa na Boeing, na VC10 iliyokuwa inatengezwa na...
2023
2123 Watu wengi wamekuwa wakijiuliza dunia itakuwaje ndani ya miaka mia moja ijayo? Leo hii ni 2023, je maisha yatakuwaje mwaka 2123?
Huu ni utabiri kuhusu dunia itakavyokuwa miaka 100...
Wanajukwaa kwema? kama kichwa cha uzi kinavyosema, ni muda kidogo sijatembelea tovutu ya serikali yetu ya Tanzania, ikiwa na domain tanzania .go.tz.
Lengo la uzi nikutaka cha kwanza kupongeza...
Habar wataalamu.
Hivi hakuna namna hizi simu deni likikushinda ukafanya namna fulani uwapotezee uendelee kuitumia maana naona kama wananichanganya hivi
Kujua dunia inakwendaje ni Jambo la Muhimu maana kuna maamuzi juu ambayo yakitolewa ni lazima yaguse maisha ya kila moja wetu.
Maisha yanakua mabaya au mazuri zaidi hilo usiniulize utajaza...
Ndugu wana jamvi kama thread inavyojieleza,
Naomba mdau ambaye anatumia au ameishawahi kutumia tv aina hii, naomba aniambie mchanganyiko mzuri wa rangi
ili niweze kupata picha nzuri katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.