Habari za jioni wadau naombeni msaada jinsi ya ku unlock simu ya huawei ya tigo ili iweze kutumia mitandao yote
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Kashindi
0754224104
Wakuu niko Chaka, najaribu kufanya software updates katika Lumia 720 inataka ni connect na Wifi na huku niliko sipati wifi, naomba msaada wenu endapo Kuna njia mbadala.
Asante.
wadau nataka kununua blackberry bold 8520 used kwa laki na nusu sasa tztizo battery ndo mbovu sasa msaada wako hapa unahitajika 1: battery orginal bei gan na inapatikana wapi? Afu 2: ikiwa mmpya...
Za saa hizi wadau, ninahitaji kufanya port fowarding ya camera ili nikiwa remote niweze kuiona kupitia gadget. The issue ni kwamba internet nitumiayo ina Dynamic IP kwa maana ninatumia router...
Naomba mnisaidie kujua maana ya credit card, jinsi ya kuipata na matumizi yake, vile vile kuna hichi kitu CVV# sijaelewa maana yake na mwisho naomba kujuzwa zip code ya Tanzania.
Kama ilivyo desturi ya Apple kuja na vitu vyenye viwango vya juu sana, wiki chache zijazo watatoa saa mpya za apple zitakazojulikana kama iWatch Apple. Zitauzwa kwa bei ya kuanzia ya $300-400, na...
Wadau naomba mnisaidie kuweza kushika internet maana nikiingia inaniletea maneno haya
"your device does not currenty have any browser configuration service book entries.
Please contact your...
Habari ndugu wana JF mimi niliamua kujichanga kuanzia mwaka jana mpaka leo nimetimiza sh 550000 sasa nahitaji kununua laptop nzuri na inayotunza moto sababu huku nilipo electricity ni shiiiida...
Habari wanajamvi. Katika pita pita yangu nimekutana na Huawei Mate 7. Inaonekana imekaa vyema sana. Hebu itazameni hapa wadau wa huku na nyie mseme ya kwenu. Binafsi naona itaweza kucompete vizuri...
Centos 7.0: The voice of Open Source Evangelists
By: Elly Rymond
I have the privilege to share the firsthand experience of a Community Enterprise Operating System version 7 (Centos 7), one...
Habari wana jamvi wenzangu.
CD yangu ya printer imepotea na nimebadili operating system kutoka windows seven kwenda windows 8, naomba mwenye Driver ya printer hp laser jet 1300 anisaidie.
Asante
Habari wakuu,
Naomba msaada nina motorola droid hd ni ya Verizon lakini nikiweka simcad yoyote VODACOM, TIGO AU AIRTEL na kuenable data connection nashindwa kupata internet,ila nikitumia wireless...
Ndugu zangu,
Nina modemu ya tigo huawei e303s-1 hivyo nilikuwa naomba kwa mwenye link ya software yenye uwezo wa kuichakachua modemu hiyo atupiae link vile vile hata namna ya uchakachukuzi...
Haya tena wale wapenzi wa teknolojia hasa gajeti, leo Samsung wamezindua flagship yao kutoka familia ya Galaxy note amabyo inakwenda kwa jina la Samsung Galaxy Note edge.
Simu hii ina kioo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.