Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba msaada kila ni jarib kuingia store na kudownload app ananiambia error arafu inaniambia this code can helpfull 80070490 c jui Ata hii code naiweka wap msaada.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chonde naomba mwenye ujuzi wa kujailbreak ipad2 anigawie ujuzi maana kuna baadhi ya mifumo inashindwa kufanya Kazi ktk ipad na inasemekana ukijailbreak ni utatuzi tosha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
How to hide important files without making hidden folders. 1. Go to desktop and create a new folder. 2. Name the folder Internet Explorer. 3. Change the folder icon to Internet Explorer. 4. Keep...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Ninatumia simu ya Tecno P5 kutoka China, nimeambiwa sio feki(yakichina), nataka kujua ni vipi ntajua kama kweli simu yangu si feki
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Niliambiwa kuwa kuna namna ya kutumia application inayouzwa kwenye play store for free, kama kuna anaejua atupie maujanja humu.
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari wadau, Hivi programu ya Showbox ndo ishafungiwa au? Maana kwa sasa haipo active kabisa. Wadau wa Movies mmepata tatizo kama langu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kwa yeyote anayefahamu android app ya kuedit photo inayoweza kupachika sura/kichwa kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine (kuexchange kichwa na mwili) aitupie hapa.
0 Reactions
7 Replies
37K Views
Samahani wadau, Nataka kumnunulia girlfriend wangu simu, lakin sijui nimnunulie simu gani ya smartphone inayo kaa na chaji angalau siku 2, na yenye gharama isiyozidi Tsh 125,000? Au simu gani...
0 Reactions
65 Replies
14K Views
Wakuu hapa nina kisimu changu cha Galaxy ace 2-GT-I8160, Shida ipo kwenye betri na nimejaribu kununua karibia mara mbili na nimeambulia patupu! Yaani kila nikinunua betri inakuwa mbovu na ile...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
East Africa in top position in Africa for internet access and connectivity Kenya currently leads in African connectivity with the highest bandwidth per person on the continent, the...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Why we need a computer ?
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Ninasimu Ya Tecno H5 tatizo Langu Nimeinstall Clean Master na CM Security na Simu inakuwa Very Slow hadi Inakera He Ni Antivirus Gani Na Phone Boost Nzuri Ambayo Nikiinstall kwenye Tecno H5...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ninapotumia whatsapp nikifungua sehem ya chat ili kuona profile picture za contact za watu wengi system inakata na inarudi sehem ya kutuma message kwa uloanza kuchat nao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu hebu tupeane maujuzi na maujanja mbalimbali kwa watumiaji wa iphone, ipad na ipod Apps gani unadhani ni muhimu kuwa nazo? Tweaks gani ni muhimu na Tricks gani muhimu.
0 Reactions
0 Replies
878 Views
habari wakuu...baada ya kujibana kidogo nimeamua ninunue desktop computer, naomba msaada wenu niweze kununua pc nzuri nisijeuziwa kimeo. wadau nitapata wapi desktop comptr nzuri! na aina gani...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni application gani kwa simu za android ambayo naweza download? ambayo naweza ku edit picha zangu ili zisiweze kuonesha kitu ambacho kipo nyuma yangu. May be mawingu yalio nyuma ya picha angu au...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Amani itawale kwa wote. Naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa kutengenea call tone yako mwenyewe. Mfano mtu akinipigia anajibiwa simu yako imepokelewa ila utapigiwa baadae. Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Picha: Apple yazindua saa mpya 'iWatch' itakayokuwa na uwezo wa kumshauri mtumiaji, bei iko hapa Kampuni ya Apple imezindua bidhaa mpya ya saa za mkononi ya kisasa ‘smart watch' inayoitwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu nimetengeneza new blog hebu nsaidieni kuntafutia unique and great name inahusika na udaku na burudani.
0 Reactions
3 Replies
918 Views
WhatsApp+ WhatsApp+ is a customizable WhatsApp where you can change lots of colours, sizes, and many other visual MODs In addition you can increase upload media limit (stock limit is 16Mb) to...
1 Reactions
37 Replies
13K Views
Back
Top Bottom