wakuu naomba kujuzwa juu ya gram money kuna mzigo wangu umetoka USA kuna mtu kafikia senegal nahitaji autume uje hapa Tanzania nimeshawatumia posta address na wamesema nitume servise cargo fee...
Wakuu habari,
Nilikua najaribu ku update clockworkmod ya kwenye galaxy s2 yangu via odin. Sasa nikafanikiwa vizuri ila tatizo simu inawaka inaishia pale inapo sema samsung galaxy s2 alafu haileti...
Habari za muda huu wana JF Nahitaji msada wako kwa hali yoyote popote ulipo nitakufuata. Hata ikibidi kukulipa. Nataka msada wa kuroot cm.
Nimekwama hapo cjaweza kuroot bado na jitihada zangu...
Habari zenu wakuu. Naomba msaada kwenye hili jambo, nina laptop inayotumia Ubuntu 14.04 nimeupdate kila kitu ila kila nikijaribu kuweka modem hazisomi. Nimeweka ya Airtel, Zantel na Tigo zote...
Remote ya receiver qsat q15g imekufa.Ukiweka battery ina function kwa single hit kisha hugoma, ukitoa battery ukibonyeza tena itafanya kisha hugoma tena.
Msaada please, kama zinapatikana zinauzwa...
Mimi naona hawa jamaa Apple wanajiamini sana kuingia kwenye hii market ya 7" na kuuza kifaa chao for $330 wakati wengine wanaanzia $200. Hata mimi nilizania kitakuwa labda kuanzia $250. Lakini pia...
Nigeria's Economic and Financial Crimes Commission is on the trail of a group of computer hackers, who had stolen N6.28billion, about $40million, from a Nigerian bank.
At the head of the IT...
Nimenunua line mpya za airtel zaidi ya tatu sasa. Kila moja nikiweka kwenye modem haisomi. Ila kwenye simu inasoma.
Nimejaribu line ya zamani nimeona inasoma ila hizi mpya zote tatu zimekataa...
Habari zenu wadau?
Kati ya hizo computer mbili hapo juu, computer ipi ina parfomance nzuri zaidi hususan upande wa graphics, na je kwa bajeti ya chini zaidi naweza kupata kwa kiasi gani kwa hapa...
Kwa wale ambao tayari wameshaishusha Windows 8 Pro, hii hapa Activator for All Edition
http://www.4shared.com/rar/1PVQ-6Zg/Kihuishi_Dirisha_la_8.html
Enjoy dude!!!
Sharing is Caring...
If you've already got Windows 8 installed, it can be well worth your while to download the free preview version of Windows 8.1. New personalization and services improvements are among the many...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.