Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habari za majukumu? Natumai mnaendelea vizuri na majukumu ya maisha ya kila siku. Kutokana na changamoto ya janga la Korona hivyo inatupasa kujikita zaidi katika "digital marketing" and...
9 Reactions
114 Replies
9K Views
Mambo vipi wana JF? Kwa sasa kuna trending ya kuongeza followers hasa Instagram, 1. Hawa followers ni kama ulikuwa nao 100 unaweza kulipa mtu na unapata 10k followers, Kumbuka hapa sio zile app...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Android ni moja wapo wa Os wenye nguvu sana ulimwenguni kutokana jinsi walivyoweza kufanya simu ionekane nyepesi kutumika na Kila moja wetu. Turudi kwenye uzi wetu [emoji16] unajua apple wameiga...
1 Reactions
0 Replies
632 Views
Unaijua contact poster Apple kwenye series mpya ya iOS ya 17 wameleta feature mpya inaitwa Contact poster uwezo wa kuweka picha za watu kwenye namba zao za simu. Contact poster inakupa uwezo...
4 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakuu kwema, Niende kwenye mada. Ni usiku mnene nikiwa sina hata lepe la usingizi nikiwa natafakari mambo mawili matatu tunayopitia wana wa Adam. Sasa kama binadamu na mmiliki wa Dunia kijiji...
3 Reactions
13 Replies
970 Views
Naweza kufanyaje hapa kurudisha namba yangu kwenye mfumo? Nimepoteza groups,na kumbukumbu nyingi tu, kubwa zaidi namba hiyo ndo namba yenye mambo mengi Sana ya muhimu.
0 Reactions
7 Replies
475 Views
Wadau, kuna mahali nataka niende niache ofisini sipatikani. Tatizo ni kwamba bado nataka niwe hewani kwa watu wengine wote, iwe tu namba za ofisini ndio hawanipati. Najua kuna uwezekano wa call...
0 Reactions
6 Replies
586 Views
Mwezi huu nataka kununua simu Janja na mpaka hapa nawaza kununua S23 Or Z Fold 4 . Nisaidie Uchaguzi mzuri na kwa wazoefu tusaidiane.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini za wakati huu wanajamvi. Naomba mnisaidie namna ya ku-bold na kubadili rangi maandishi! Wasalamu!
4 Reactions
234 Replies
20K Views
Ulivyokuwa na Miaka 14 ulikuwa wapi? Mjue Kairan Quazi, Mfanyakazi wa Elon mwenye Umri mdogo zaidi Genius huyu ameteka vichwa vingi vya Habari baada ya kupost kwenye ukurasa wake wa Linkedin kuwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
𝗨𝗻𝗮𝗶𝗷𝘂𝗮 𝗚𝗮𝗹𝗮𝘅𝘆 𝗤𝘂𝗶𝗰𝗸 𝘀𝗵𝗮𝗿𝗲 ?? Kuhamisha kitu toka kwenye simu yako ya Samsung kwenda kwenye kifaa chingine ambacho ni Simu au kompyuta unajua ni rahisi sana ? Najua ulikua hujui. Watumiaji wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Naomba msaada wa excell. Naandaa template ya matokeo kwa shule za MSINGI. Sheet 1 nimeweka kwaajili ya kujaza alama. Sheet 2 nimeweka sehemu ya matokeo,yaan madaraja ya kila...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Msaada wa kupata dj mixing application kwa Android, yenye uwezo mzuri wa kucheza kwa kutafuta BPM bila kukwama
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwenye link sahihi kupata hiyo game au setup msaada. Mortal kombat 5 Deadly Alliance PC
0 Reactions
2 Replies
404 Views
Wakuu naomba kujuzwa jinsi nitakavyo faidika kuangalia Uefa nikiwa kitandani na Laptop yangu. Msaada pliz
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nyota ya Mtanzania, Gibson Kawago imeendelea kung’ara baada ya kutajwa katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya ubunifu katika uhandisi Afrika inayoratibiwa na Chuo cha Uhandisi cha Uingereza -...
3 Reactions
6 Replies
874 Views
Wakuu habari, nahitaji kununua TV kwa ajili ya biashara ya kuonyesha mpira Sasa wakuu nauliza TV gani imara na nafuu kwa ajili ya biashara ya mpira banda la kuoneshea mpira. Sent from my Infinix...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Hello wataalamu wa IT naomba link ya kuangalia mpira wa Leo please ni kwenye simu wakuu wangu .
1 Reactions
0 Replies
429 Views
Nimekuwa nikitumia account yangu ya Telegram lakini hivi karibuni wamenizuia kupost kwa groups lakini kutuma kwa individucal ambao nime save namba zao hakuna shida. Tatizo ni kwa groups, ukitaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
𝗞𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗲𝘁𝗮 inasema muda sio mrefu itaachia feature mpya kwenye Whatsapp ambayo inaitwa Channel, hii ni kama vile broadcast channel kwenye Instagram. Whatsapp Channel ni feature mpya yenye...
0 Reactions
4 Replies
937 Views
Back
Top Bottom