Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Uber itaanza kuweka matangazo katika app zake mbili, app ya Uber ambayo inatumika kuita usafiri (gari, bajaji, pikipiki n.k) na katika app ya Uber Eats. Watumiaji wa app hizi wataona matangazo...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi unajua simu yako inaweza kukurahisishia kufanya mambo mengi kwa haraka najua wengi walikua hawajui hii. Kwenye simu Kuna kitu kinaitwa action & Gesture kazi yake ni kukusaidia kukurahisishia...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama kawaida mlinzi msomi nisiye na hiyana. Nilipanda bajaji mwaka 2021 nikasikia jambo, nami nikadadisi kidogo. Nikafanya kama nilivyoambiwa. Ukiwa na smart phone mbili , yako na ya mwenzi wako...
15 Reactions
32 Replies
3K Views
Tumeona feature nyingi zikitoka mwaka huu 2023 kwenye WhatsApp wanazidi kuendelea kufanya vyema sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia. WhatsApp wanakuja na feature mpya ya kuweza kurahisisha mambo...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
𝗠𝗮𝗮𝗷𝗮𝗯𝘂 𝘆𝗮 𝗧𝗲𝗹𝗲𝗴𝗿𝗮𝗺 𝗯𝗼𝘁𝘀 Toka kuanza kutumika 2013 telegram ni app ambayo inatumiwa na watu wengi sana ulimwenguni kwani ina mambo mengi mazuri na ya kushangaza ambayo ukiyajua utaacha kutumia...
20 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari za wakati huu, Thread zangu napenda kuziweka huku sababu pako active kuliko majukwaa mengine. Naombeni msaada wa code, nahitaji mtu fulani akinipigia nisipatikane, simdai hanidai ila...
7 Reactions
66 Replies
7K Views
Ikitokea umeibiwa simu uliyokuwa unatumia Je unatakiwa kufanya nini ? Najua kuibiwa kitu chako kipya au ulichonunua kwa Gharama yoyote ile inauma sio poa. Uzi ni wenu wapwa si unajua Teknolojia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wanajamii nimepata mchongo la saba mimi ambao unahitaji niwe vizuri kwenye hayo niliyoyataja hapo.sina komputa ya kusema nitajifunzia ndo maana natafuta mtu ambaye anadesktop anipige msasa...
1 Reactions
3 Replies
539 Views
Ndugu wadau wa WordPress, binafsi namiliki website niliyoitengeneza kwa WordPress kwa muda wa miaka miwili sasa. Siku za hivi karibuni nime experience tatizo la kushindwa ku "save" pale...
0 Reactions
5 Replies
962 Views
Mwenye uwezo wa ku-unlock hiki kifaa anicheki aisee! Tupeane maufundi
0 Reactions
4 Replies
696 Views
Habari zenu wakuu? Naomba kufahamu ISP wa fiber internet kwa Dodoma. Nafahamu TTCL pekee ila ningependa kufahamu options nyingine zilizopo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimefanikiwa kuibadilisha website yangu kuwa Mobile App inayofanya kazi kwenye Android & ios devices. Nimetumia Flutter kulifanikisha hili. Hii ni project niliyofanya mwanzo wa mwaka huu kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi unajua kwenye simu zetu unaweza kumchagua mtu awe mrithi wa simu yako ikitokea umekufa ataweza ku access baadhi ya taarifa zilizopo kwenye simu ? Najua wengi hawajui hii. Kwenye simu zetu...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Habari za muda huu. Naombeni msaada wenu juu ya hili. Nawezaje kutengeza zile Megamix, Mfano nyimbo 50. Yani ile playlist moja tu. Niki-Play zinapiga hadi basi. Huwa naona lakini...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
habarin, mwenyw ujuzi na printer aina ya Xerox ubora wake na ufanaji kazi wake kama nimzuri naomba ushauli wake maana nahitaji kununua this wiki japo kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Mwenye ujuzi wa machine hii inaitwa Xerox 6655i ufanyaji kazi wake , cost za wino wake, pamoja na cost za image units
3 Reactions
3 Replies
494 Views
Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali? What can I do? Help?
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Tunaelekea kwenye ulimwengu wa Ma game Duniani ? Apple wametambulisha teknolojia mpya ya AR headset baada ya miaka mingi kupita. Apple imetambulisha kifaa kipya cha kuvaa machoni kinaitwa Apple...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Jamani nahitaji kujua kuhusu uimara kuhusu epso l382 je inadumu,vipi utendaji kazi wake uko poa? Kabula sijainunua nahitaji ushauri kutoka kwa wajuzi wa haya mambo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom