Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndugu wana Jf naombeni ushauri kuna rafiki yangu anataka kuniuzia hiyo ipod kwa tsh 200,000 kiukweli sijui lolote kuhusu hicho kifaa hivyo naomba maujuzi yen Ndugu zangu
0 Reactions
2 Replies
696 Views
Wanajamvii naomba mwnye kuelewa hli jambo anielekeze mana nimekukuruka sana bila mafanikio hivyo bas naomba anefaham anilekeze namna yakufuta PM.Asanteni
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Nimeweka modem router nyumbani,ninailipia kila mwezi kwa shirika la simu nchini,Modem router yenyewe ni aina ya TP Link,150 Mbps,Wireless N ADSL2+, Model No.TD-W8951ND,tatizo langu kila nikimpatia...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Waziri wa ulinzi wa nchi ya urusi ameweka wazi kwamba internet kote duniani ipo chini ya kitengo cha usalama cha nchini marekani CIA na amewaonya watumiaji juu ya google searches.!
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Msaada tafadhari ktk hilo! kama unaifahamu software ya kufanya photo slide ktk website then unai export ktk format ya gif au html codes (embed) na una link yake weka hapa basi...kama ina...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wanajanvi naomba msada kulink card yangu na CRDB visa na paypal. sio mgeni sana kwa mambo hays ila nimekwama cz nilikua natumia mastercard ya NBC kwenye paypal bila tatitizo ila huku nilohamia...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
msaada waungwana nataka kununua cm nami niwe na dunia kiganjani. je ni aina gani mzuri?
0 Reactions
8 Replies
867 Views
nina nokia e7 ina 16 gb internal memory..ila nikirusha wimbo unagoma kuingia
0 Reactions
2 Replies
558 Views
wadau msaada wenu maana mm c mtaalamu saana wa cm,n cm gan naeza nunua kwa bei hiyo au around 600-900 ambayo itanifaa napendelea zaid nokia
0 Reactions
2 Replies
921 Views
Ipad,Iphone na Tablet Kuuliza si ujinga cc C6 na wengineo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wataalam, rafiki yangu amefika toka London na simu tajwa hapo juu. Orange wamei-lock, anataka ku-unlock, IMEI 352376053868251. Kwa niaba ninaomba unlock code Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
741 Views
Nimeletewa simu tajwa hapo juu kutoka marekani, tatizo lake haina sehemu yakuweka line (iphone 4s with no SIM card slot) Vipi hapa Tanzania nawezaje kuitumia hii phone kwa service providers waa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
tulikuwa tunatumia hao jamaa hapo juu ku download vitu mbalimbali,naomba kujua kwa sababu ni kama hazipo tena hewani???nimesoma nikaona USA Government shut them down????? njia nyingine ya ku...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naombeni msaada kwa anayefahamu jinsi ya ku unlock Huawei moderms (ya vodacom).
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye key za ADOBE CS5 msaada tafadhali..
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Take a look at Kayak.com HotelsCombined.com Cheapoair.com,Trivago.com aggragate live rates and availability of rooms and flights from multiple booking sites. They don't have booking engines, so...
0 Reactions
2 Replies
706 Views
Wakuu nitapataje office 2013?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba mnielekeze jinsi ya kuondowa sms inayo nijia pindi nikiingiza flash Huwa inaniambia niformat na huwa kila nikichomeka flash inaniletea hiyo sms
0 Reactions
3 Replies
805 Views
jamani msaada kwa yeyote anayejua kuhusu hizi sim za HUAWEI Y200 anijulishe zinauzwa bei gani madukani? Au je tigo bado wanaendelea kuziuza? Au zilishaisha? Kama tigo bado wanaendelea kuziuza...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
wana jamvi naomba msaada jinsi ya kuweka whatsapp kwenye ipad
0 Reactions
1 Replies
769 Views
Back
Top Bottom