Wakuu naombeni msaada wenu natumia nokia6120c ila nikidownload whatsapp inaanza kunambia utumbo huo wkt cm yng ina memory ya kutosha tu na ina app 2 tu operamini&uc browser na pia nishawahi...
Habari zenyu wanajamvi,
Wazee tafadhari kama kuna mtu ameshafanikiwa kui-unlock hii modem tafadhari anisaidie ni wiki ya 3 tatu nime-google mpaka nimechoka hakuna mafanikio.
Natanguliza shukrani...
Habari waungwana wa Jf, Naomba kusaidiwa jinsi ya kuweza kudownload nyimbo ziliko kwenye MUZIKI NET, sio siri kuna nyimbo za makabila mbalimbali ya hapa nchini nazipenda sana ila nimejaribu...
kama tunavojua leo dili la nokia/microsoft limekamilika, tujikumbushe simu za nokia zilimake headline kabla jamaa hawajanunuliwaNokia 1011 iliyotolewa mwaka 1992 ndio ilikuwa nokia ya kwanza ku...
Habari wakuu, hivi karibuni hard disc yangu ilikuwa inazingua so nikaiformat then nikaifanyia partition,baadae nilipokuwa nahitaji kufanya recover vile vitu vililudi ila vinagoma kufunguka hasa...
Wadau natumai mko safi na Jumapili imeingia vema! Ninaomba msaada jinsi ya kurudisha folder zilizokuwa deleted na kwenye recycle bin zikaondolewa pia. Najua humu JF wapo wataalam, nimepoteza...
Najua wengi wamekuwa wakilalamika wanapotumia whatsup kwa vile hutunza muda ambao uko online au last seen.
Je unataka kutoa last seen kwnye whats up ....
Usitokwe na jasho ni rahisi sana
Ingia...
Waziri wa ulinzi wa nchi ya urusi ameweka wazi kwamba internet kote duniani ipo chini ya kitengo cha usalama cha nchini marekani CIA na amewaonya watumiaji juu ya google searches!
Wanab0di.
Hivi hizi simu zinaz0tumia andr0ide km htc,techn0 na huawei ambaz ni t0uch,je kwenye internet zinamfum0 kama una0tumiwa na blackberry(I mean kununua bundle) au mtu ukijiunga na vifurishi...
heshima kwenu. nmedownload adobe photoshop cs2 tatizo lipo kwenye installation inahitaji serial # na mm nmedownload setup peke yake kwa yeyote anaye weza nisaidia hizo serial namba naomba msaada...
Wadau nisaidieni demu wangu ana simu nokia 2600c, nyendo zake zimebadika sana kila tukionana jioni nakuta no na sms zote kadelete kabakisha zangu tu tofauti na zamani.
Mfano asbh nareset call...
Habarini.
Wakuu , Nimetumia Support Library ya Appcompact v7(Support Library ya Android) ili ku add ActionBar na Tabs kwenye Devices Ambazo zina run android version ya 3.0 kurudi chini...
habari wana jf
Gari yangu iko chini sana inagonga kwa chini kwenye matuta nk sasa nimepewa ushauri wa kuinyanyua .Je endapo ntainyanyua kuna madhara yeyote yanaweza tokea kwenye gari yangu...
Wakuu wa Kitengo hiki salaam sana.
Nina External HDD ya TRANSCEND ya 500 MB ambayo niliwekea password kwa usalama wa data zangu.
Sasa for some reason computer niliyokuwa natumia ambayo ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.