Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hv wanatech naombeni kuuliza kuwa kwnn whatsapp huwez kutumia kwa njia ya website yan mpaka udownload app kwa mfano fb unaweza ukatumia kwa app au ukaingia kwa website.NAWASILISHA
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, naomba mwenye uelewa wa concepts hizo hapo tajwa atufafanulie zaidi kwa kiswahili, maana ni vitu ambavyo nimekutananavyo mara nyingi kwenye computer, tv na dvd player, lakini bado...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Najaribu kuconnect wi-fi kutoka kwenye simu yangu samsung pocket model GT-S5301 ili niitumie kwenye tablet 5 samsung windows 8..lkn kila nikijaribu ku connect inaniambia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba mnisaidie njia ya kuweka windows 7 kwenye mashine yenye linux mint 14. Maana kila nikijaribu ku-boot from DVD inakataa kumaliza.:sad:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangumsinunue simu hizi zinatatizo la kimtandao kwa kiasi kikubwa
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Nina samsung galaxy s2 nahisi ina tatizo la charging system. Niki plug charger inaniambia battery disconnected. Natafuta fundi wa uhakika awe yupo mitaa ya posta au k.koo na bei zake ziwe...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Pole na majukumu wakuu wote. Naomba mwenye kufahamu smart phone nzuri aina ya LG anisaidie nataka kununua moja. Ningependa kujua bei zake ,uimara, kukaa na chaji kwa model tofauti pia na...
0 Reactions
2 Replies
911 Views
simu yangu ni Samsung Galaxy ace program ya youtube niliifuta ili nilivyo kuja kuidownload tena upya haisomi inaniandikia kama ilivyo hapo sijui tatizo n nn msaada
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nina website najaribu kutengeneza natumia 000webhost.com kama hosting... Nimejaribu free hosting Tatizo n Ni kwamba kwenye localhost website ina function vizuri data zinakua passed kwenda...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Printer ndogo imegunduliwa na waisrael ambayo itakuwa sokoni mwanzoni mwa mwaka 2015 Israeli Startup Makes World's First Mobile Printer Jerusalem students capture the world's attention by...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
HAKUNA HAJA YA KUMALIZA WINO WAKATI MATE YAPO, KAMA KWELI UNAMBAVU TIA MIGUU YAKO HAPA Video Hii ya maelekezo ina 2mb pekee http://youtu.be/jwFAHs1a4Zw Kwa Vigezo na Masharti Pamoja na Jinsi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu leo nikatakiwa kuapdate facebook messenger.kipya nilichokikuta sasa naweza kupiga simu free.kwa kuthibitisha hili nilifanikiwa kuongea na rafiki yangu mwenye version hii mpya.angalizo ni kwa...
1 Reactions
2 Replies
873 Views
Like many small business owners, you may believe your business cannot benefit from having a website or that a website is not within your budget. Or maybe you think because you don’t...
1 Reactions
6 Replies
937 Views
Habari zenu wakuu, nauliza hvyo v2 jaman maana yake nini au vinafanya kazi gan
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jaman nisaidieni hapa, nataka niweke os nyngine kwenye laptop rakini haina mlango wa cd na nikiiwasha kwenye boot mode hakuna boot from usb or flash. Je tawezaje kuweka window nyngne?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wadau najaribu kuinstall antvirus ya AVG ambayo ni free lakini naletewa SETUP ERROR naandikiwa * this platform is not supported by this installation package.please ensure that you have...
0 Reactions
2 Replies
660 Views
Wakuu simu tajwa hapo juu ndio ninayotumia toka mwaka jana, mwanzo ilikuwa ina operate vizuri ina reboot automatically na kujiwasha. Baadae ikawa ina reboot lakini haijiwashi. Sasa wiki ya pili...
0 Reactions
10 Replies
991 Views
Wakuu nilikuwa natumia symbian phone ilikuwa ina video editor nzuri tu ila sasa hv nimehamia kwny ulimwengu wa android je naweza kupata the best video editor au hata ya kucreate video ile ambayo...
0 Reactions
2 Replies
956 Views
10 innovations that changed the world Twenty years ago, the idea of listening to a song on anything other than a CD, cassette or LP would have seemed fanciful. Yet from music to medicine and...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Maana hizi bei ni za ajabu kabisa, kuna wengine watasema bei sio everything lakini kwa gap hii inakuwa vigumu hata kuwafikiria. Nimefananisha na Voda kwa vila ndo ninayotumia. 1 GB Bundle Smile...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom