Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Napata usumbufu nkitaka Ku download k2 inanilazomu nijaze password za email ya mtu alieniuzia smu hii ktu ambacho n kgumu kumpata sasa wadau nsaidien njia nyingne kuweza kutumia app nyingne Ni HTC...
0 Reactions
6 Replies
955 Views
Wadau naomba msaada kwa mwenye kujua jinsi ya kurudisha menu ya personal hotspot kwenye iphone 5. Imepotea baada yakumuachia mwanagu simu. Thanks
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Solved! How Ancient Egyptians Moved Massive Pyramid Stones By By Denise Chow, Sci-Tech Editor 10 hours ago...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hidden in the Twittersphere are nuggets of information that could prove useful to crime fighters—even before a crime has been committed. Researchers at the University of Virginia...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
JF TV yangu imekata star tv kwa wa zaidi ya miezi miwili sasa nimewahi kusikia eti wamebadilisha frequency na hilo ndio linalo sababisha nikose. mwenye frequency naomba anisaidie pia anisadie...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Habari wakuu! Ivi kuna njia nyeti ambayo unaweza kudaiveti namba ili endapo atapigiwa lazima zipitie kwangu alufu ndio nilusu kupokea:-x? Nawasilisha wakuu
0 Reactions
3 Replies
787 Views
Kwa maoni ya wengi hapa nchini pikipiki aina ya SANLG inaonekana ndo pikipiki inayoweza kuhimili mazingira ya Kitz. Sasa kama kawaida ya Mchina huwa anatengeneza ORIGINAL na FEKI; nitatambuaje...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
0 Reactions
0 Replies
699 Views
habari wakuu naomben msaada kwa yeyote atakae weza nisaidia. Ni wiki ya 3 sasa simu yangu haipokei simu zote zinazoingia (ukinipigia utaambiwa simu inatumika) muda wote na cha kushangaza blacklist...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wakuu nina LG Mobile haitumii laini mpaka wireless only yani kwa matumizi ya internet tu,how can i use the bluetoth connection to get the internet service coz the place that ilive there is...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Hello JF Team Naomba kama kuna mtu ana training video za SQL server 2000 or 2005 ambazo anaweza kutuwekea hapa... Kuna vyuo wanazo hapa tanzania lakini hawawezi ziuza au kutoa kwa...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Thanks for nothing, Apple, say forensic security chaps. According to forensic security experts, Criminals wanting to best forensic investigators need only perform a factory reset of all current...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Wakuwa hapa habari zenu!! Naomba mtaalamu anayejua kutumia java (Object-oriented Progamming ), aingie pm tuongee biashara. Nina project, nitampa maelekezo.
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Habari wana jamii wenzangu, nina shida naomba msaada wenu, ninatumia samsung galaxy s4 lakini napata shida sioni option ya ku reply kwenye topic za humu ndani, nifanye nini ili niweze ku reply...
1 Reactions
8 Replies
954 Views
Wakuu habarini za Mapumziko,nina T.V yangu ya LG Golden Premium imejiloki yaani siwezi kufanya chochote kile,iwe ni kuongeza sauti wala kubadili channel,kila nikibonyeza Remote au T.V yenyewe...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu JF nikakuta uzi unaohusu mkenya anaetengeneza animation na sahizi anamalizia game lake daaah nilishangaa kidogo ila nikafungua huo uzi na kuona game lake damn msela kaweza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
fuata hizi procedures................. 1. Tengeneza developer account via this link http://tinyurl.com/mdw4bgx 2. Download preview for developers app from store Preview for Developers | Windows...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Apple is expected to unveil iOS 8, its next big software update for iPhones and iPads, during its World Wide Developers Conference in June. The update is likely to bring a few new features to the...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
cant see my drive G after repairing the 'bootmgr image corrupted failed' problem!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, leo katika pitapita zangu kwenye internet nikakutana na hii kitu kwenye i24news.com | inamaana hackers wameanza kuichokonoa microsoft.swali langu linakuja je, tusitumie dunia...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom