Nauza samsung potable laptop , unaweza charge kwa umeme au jua(ina solar panel) , RAM 1 GB, internal hard disk 280GB, pentium M, 32 bit, imenunuliwa miezi michache quality centre , sasahivi nauza...
Wadau habari ya mapumziko ya week end, kwanza nauliza swali, je! inawezekana kuifanya Android smartphone kuwa moderm kwa kuiconnect kwenye PC? Pili, kama jibu ni NDIYO, naomba kuelekezwa jinsi ya...
Habari wandugu. Kutakua na training ya jinsi ya kutengeneza application za Android kwa siku tano pale Arusha Technical College kuanzia tar 12May 2014. Bei ni 80,000. Kwa reservation tuma sms...
Nimeambiwa kuwa naweza kutumia simu kama moderm ya laptop aidha kwa Bluetooth, WI-FI au USB tethering.
Swali langu ni kuhusu ulaji wa MB's zangu.
Je ninapotumia laptop zitaisha haraka zaidi ya...
Wa jf naombeni msaada jinsi ya kutatua hili tatizo: kutokana na mvua zinazo endelea juzi nimekuta pc yangu imenyeshewa na mvua na kuzima kabisa je inaweza poa au ndo nijipange tena kununua pc...
natumain mu wazima ndugu zangu wataalam wa android...mwenzenu ninaomba msaada wa kujua kama kuna njia au application yeyote ambayo itaninipa option yaku switch network niitakayo hasa 3g...
Wapendwa habari zenu.
Nilikua ninaomb nipate msaada kwa wale wenye utaalamu na Mambo ya Web Hosting activities,nilikua nataka nijifunze,naombeni sana wandugu.
habari wanaJf science,hivi kunauwezekano wakupata mawasiliano ya simu(sms na calls) ya mtu mwingine kupitia simu ya mkononi?nielimisheni wakuu.
Natanguliza shukran.
Habari zenu wakuu.Natumia Nokia Lumia 610, Ni black yenye storage 8GB na OS ya Microsoft Window 7.5 Mango. Bado ipo ktk hali nzuri ya kuvutia. Nataka nibadili upepo wa OS, toka Window kwenda iOS...
Hi wadau,
mida ya saa mbili usiku nimelipia huduma ya azam kwa kutumia mtandao wa simu,nimepokea sms kwamba nimefanikiwa kujiunga na ikanipa na jina langu kabisa,cha kushangaza mpaka sasa channel...
msaada kwa mwenye kujua hili tatizo...natumia huawei ascend y 300 natumia line ya airtel kila nikipiga simu inakata kabla hata haijakonekt na nikiuliza salio napata meseji inayosema ''..connection...
http://youtu.be/4F42bbctmWM
DNA's Brother Creates Kenya's First 3D Videogame! Published on Friday, 18 April 2014 12:36 Written by Linda Kimaru
How great would it be if you...
kwa wale wote wafanya biashara wadogo na wakubwa. wanafunzi kutoka THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR (SUZA)
wamo katika hatua ya mwisho kutengeneza app ya simu za android kuwarahishia wafanya...
habari wakuu,mimi mda mwingi natumia internet kutokana na kazi zangu ,so nilikuwa naomba kama kna njia nyingne ya kunisaidia atleast na mimi nipate cheapest way ya kununua internet coz kwa siku...
Samahani Wandugu naombeni Key Product key za Window 7 Professional,Machine yangu inanisumbua, inashindwa kufanya kazi kiufanisi na inaniambia Windows is not genuine, imeniandikia haya maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.