Kuna tetesi kuwa baada ya kuelemewa sana, huenda Airtel ikajitoa kabisa kwenye huduma ya data na Internet hivyo kubaki kwenye voice tu.
Spidi ndogo ya mtandao huo kwa sasa, huwezi hata kuattach...
kwa mahitaji ya compter hadwere and maintainance, domain hosting and registration ,
website design and development , graphics design and data recovery ...for more info
plz visit...
Flash aina hii (kingstone) ni Mbovu sana (Feki)
hazidumu na zina matatizo mengi ! Na mostly zinakuwa attacked na virus kirahisi sana !
Zinazoingizwa Tanzania nyingi ni Fake brand !
jamani et inawezekana kuweka usb system ktk dvd player ambayo haina port ya usb? Maana nina dvd hapa lens yake haipatikan na nataka kama inawezekana niweke ivo ila nmehangaika sana ila imegoma
Nikidownload k2 playstore inanambia couldn't install on USB storage or SD card au nikipiga picha inasema the SD card does not have enough space,plz release some storage or change the default write...
Sony has developed a new technology that pushes tape drives far beyond where they once were, leading to individual tapes with 185 terabytes of storage capacity.
Back in 2010, the standing...
habarini
Nahitaji kusaidiwa namna ya kufanya update katika pc yangu kwani kuna tatizo limetokea kwenye troubleshooting na kufanya mawasiliano ya internet kutokuinstalika vyema na vilevile baadhi...
JE INTERNET YAKO INAJIKATA NA DOWNLOADS HAZIMALIZIKI, JIBU LIPO
wengi wetu huwa tunapenda kudownload series, movies, games, software, e.t.c hasa pale nyakati za usiku tunapolala tukitegemea...
wakuu nilikuwa naomba kuuliza juu ya bids hasa nikitu gani??
hii kitu nimeiona kwenye bidhaa za kununua online kama eBay utakuta kama ni sim imeandikwa bei yake kwa mtindo huuu
buy now $500...
habari wadau!
Msaada wadau, nimeangusha simu yangu aina ya iPhone 4S, na imepatwa na tatizo la display! Inavyoonekana vitu vingne vina- function Kama kawaida. Mtu akipiga simu inaita Kama kawaida...
Mie ni buheri wa afya njema sijuw nyie wenzangu.
Nimekua natafakari sana na kutaka kufahamu ukweli wa hili jambo.
Ni nani anaemlipa mwenzie juu ya matangazo yanayorushwa kwenye hivi...
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo...
Facebook users should not to fall for a new scam which tricks victims into self cross-site scripting by promising access to a tool which will let them hack their friends accounts.
A post...
The maintainers of PHP have released two new versions of the scripting language that fix a number of bugs, to protect PHP developers from bugs, including the OpenSSL Heartbleed vulnerability...
wakuu nilikuwa na uliza ni aina gani ya laptop itafaa kwa kazi ya kutengenezea magari??
nimejaribu kuchungulia kwenye workshop mbili tatu za nje na hata online kama ebay na amazon nimekutana...
Nilikuwa na brand new Nokia Lumia, lakini imeharibika button yake ya kuwasha/kuzima iliyoko pembeni kulia, na hii ni ndani ya miezi 6 tu!.
Naomba mnijuze wazoefu smart phone ambayo ni durable na...
Wazee wa Mujin Bahari
Nina hard disk niliitoa kwenye laptop yangu ya zamani nikawa naitumia kama external siku za karibuni ime collapse kabisa ina data muhimu sana sana nahitaji msaada wa namna ya...
Wadau simu yangu imekuwa pasua kichwa. Ina tatizo lifuatalo, kuna muda inapitisha charge, sometimes haipitishi kabisa kwa kutumia same cable. Nshabadili cable kibao lakini tatizo lipo pale pale.je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.