Habari zenu wakuu, naomba kama kuna mdau ana hiyo software plz aniwekee hapa na kama yupo anayejua jinsi ya kuipata naomba anisaidie maana nimegoogle sana ila kwenye downloading ndio kuna fujo...
Naomben msaada wenu wakuu kwani simu yangu imegoma kufungua apps zote znazohusiana na internet ikiwa ni pamoja na internet yenyew...nikijarib kufungua inaniandikia No Network Connection,msaada...
Hii cm kila mara inadisplay ujumbe huu UNFORTUNATELY MUSIC HAS STOPPED ikisha display hivyo inakuwa haiwezi kufanya chochote hadi niizime kisha niiwashe. nisaidien
Wadau,
Ninahitaji msaada na uzoefu wenu. Nina LG TV flat 32 inches niliinunua 2012, Nimeitumia kwa muda mrefu bila matatizo. Ila kwa sasa ina kawaida ya kutowaka kwa wakati, yaani nina switch...
habari za asubuhi.Wapendwa nataka kuchukua bb torch 9800 na nimeangalia gsm arena nimeona ina os ya 6,hii os imenishtua ya kwamba huenda ikagoma kupokea baadhi ya applications za bb app...
NASA May Put Greenhouse on Mars in 2021
Plant life may touch down on Mars in 2021.
Related Stories
Curiosity Rover Weighs Drilling into Mars Rock for Samples? (Photos) SPACE.com
Mars Rover...
Ingiza code hii *#0*# kisha piga. Utapata menyu ifuatayo:-
Bonyeza tab ya red na screen yako itabadilika rangi na kuwa nyekundu.
ukibonyeza tab ya green screen yako itabadilika kuwa kijani vile...
Wadau,
Ningependa kuwashirikisha application mpya ya kwa ajili ya simu zote za android inayoitwa SHAREit ambayo ni maalum kwa ajili ya kuhamisha files za aina yoyote kama vile picha, video, apps...
Habari wakuu kuna laptop Toshiba satellite c50-A634 nimeltewa ikiwa na widows 8.1 nikawa nahitaji kubadilisha nitumie widow 7 haiboot nimejaribu kubadili setting kwenye bios bado inagoma ila...
Wadau natafuta display ya hiyo laptop hapo, yangu imekufa so nataka kureplace. Inapatikana wapi na kwa shilingi ngapi? hata kama ni used ili mradi inafanya kazi
Beware for Zeus (The man in the browser)..can trick you guys!!!if you are doing online transactions..!!!!its a software that can disguise in your web browser to make you think your doing...
wakuu hapa ninapoishi simu yangu inasoma WiFi network available, japo huko nyuma sijawahi kuona kitu kama hiki.
Naomba mnisaidie jinsi ya kuunga hii kitu,msisahau kunielekeza faida na hasara...
Wandugu please naomba kwa mwenye ufahamu wa kukokotoa toka TRA calcutator, Agent wa magari ama yeyote aliyepata kuagiza gari aina ya Toyota Raum (2005), c.c. 1490 CIF $3100. ainisaidie kunipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.