Nlikua natumia lain ya airtel kwenye s4 na ilikua inafika hadi 4G. Ss nmeRenew lain nyngine lakin haifiki hata 3G inaishia EDGE tu. Nimejaribu kuweka laini nyingine tatu zinagoma hadi ya voda nayo...
Lengo si kushndanisha hizi apps. ila ni kuwa hii palmchat naona ni application nzuri sana kwa watumiaji wa simu hzi za kawaida zinazosapoti java.(kama tecno n.k) kwani ina features karibu zote...
Ukisikia maelezo na matangazo kuhusu king'amuzi cha AZAM juu ya urahisi wa kurekodi vipindi katika USB flash unaweza husifikiri nilichokipata.
Kikubwa ni kwamba Decoder yao inarekodi katika...
Kampuni ya Google ipo kwenye mchakato wa kutengeneza simu zitakazo badilisha namna tunavyoelewa na kutumia simu nyengine sasa hivi. Mradi huu unaitwa ARA. Simu hizi zitakua kama laptop vile..kila...
Naomba msaada, nashindwa kuinstall baadhi ya program kutoka play store, niki download inakubali vizuri na inainstall kabisa tatizo nikitaka kuifungua inaniandiakia 'The application...
Msaada wajameni kwenye tuta,,
Nina Flash nilimuazima mtu kuirudisha ikaja imepoteza mafile yang ila ujazo uko vile vile wa GB 4 ila ukifungua kuna file za MB 2 tu
Hatua:
1. Nilijaribu kurecover...
Ndugu wanajamvi, habarini za jioni.
Kama heading inavyojieleza, nilikuwa Dar nikitumia modem HUAWEI E153 u-1 lakini kwa ss nimehama. Nilikohamia kuna tatzo kidogo la network ya tiGO, badala yake...
wadau nauliza kama kuna limitation zozote za kuinstall na kutumia software unapoinstall win8.1 kwenye ubuntu kw kutumia virtual box natanguliza shukrani wakuu
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu,nina BlackBerry Curve nimedowloads WhatsApp na kuinstall but nikifika hatua ya ku-Verify my phone number,nimeandika namba nikienda Confirm inagoma...
How big a TV should I buy?Wondering what size TV to get? Wonder no longer.
by Geoffrey Morrison
@TechWriterGeoff
July 11, 2012 9:47 AM PDT
Updated: November 21, 2013 5:51 PM PST
comments...
LED LCD vs. plasma vs. LCDLED LCD vs. plasma vs. LCD: The ultimate tech choice. Debating on which HDTV technology to buy? Debate no longer. OK, not too much longer.
by Geoffrey Morrison...
New York Meya "Bill de Blasio" wiki hii alitangaza kwamba kutafuta mapendekezo ya namna bora zaidi ya kujenga citywide mtandao Wi- Fi kwamba anatumia simu ya kulipa vibanda kama maeneo yenye ...
Nilikuwa na Nokia Lumia lakini imeharibika button ya kuzimia/kuwashia iliyoko pembeni kulia ndani ya miezi 6 toka nimenunua.
Nahitaji kunua smart phone durable na yenye longer battery life...
Ndugu zangu wapendwa habari zenu: Nimetumiwa picha whatsup ninapo jaribu kuifungua naambiwa(The download was unable to complete.please try again later) naombeni msaada nifanyeje ili nizione...
Wakuu wa mambo ya IT nisaidieni. Ninahisi kuna mtu anafuatilia malipo ninayofanya kupitia M-PESA,kila nifanyapo malipo kwa jamaa yangu fulani kuna mtu mwingine ananipigia simu.Hawa watu wawili...
Habari zenu wadau wa sayansi. Poleni kwa kula bata kwa almost wiki nzima ila sasa mmerudi katika kazi. Pamoja na yote niwaombe mnisaidie juu ya hili tatizo langu.
Ninatumia kompyuta yangu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.