Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
niko tayar kumlipa atakaeweza kunifahamisha how to hack system database mfano system ya wafanyakazi kwenye website au za wanafunzi contact me 0772656500
0 Reactions
27 Replies
3K Views
pitia hapa http://haveibeenpwned.com kama hujaelewa fuata maelezo chini Internet users have obviously known for some time that hackers pose a serious threat, but we all got a shocking...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana Jf!! Nimeona tupate Elimu wote: Mambo Muhimu Kuhusu Antivirus /Internet Security Watumiaji wengi haswa watumiaji wa tarakishi ( computer/simu ) wanatumia vifaa vyao hivyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi Wadau! Naombeni freguency za TBC FM/radio Tz au station yoyote wanayorusha vipindi vya bunge live. Thanks in advance.
0 Reactions
8 Replies
13K Views
Nimenunua tecnop5 nimeweka protector ya diamond ila nikikaa kwny jua inanipa shida mno kuona yan hadi niifumbe na mkono tena hapo ndo itakuwa kidogo afadhal,sasa je tatzo ni screen protector...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naomba kujua bei ya tecno P.5 dukani.nipo dae es salaam kwahiyo naomba kujua kwa dar .
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Hivi kwa hapa Tanzania tunaweza pata hizi chaneli za Aljazeera sport 1,2,3,4.....10?? Kwa dishi la ukubwa upi?,Risiva ya aina gani?(Uwezo gani) na engo ipi?? MR ARSENAL
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wana JF nina moderm kutoka Vodacome nahitaji msaada wa ku unlock ili nitumie line zote
0 Reactions
2 Replies
828 Views
The cost to build a Samsung Galaxy S5 - Video - Technology
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nimeungiwa ila calls wala sms hazitoki naambiwa no enough balance. Msaada wenu tafadhali. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Imetoka Dubai ni mpya kabsa ina 150gb na ram 4gb bei maelewano nicheki na pm au pigs hii namba 0719100531
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu. Ninajitokeza katika forum hii ya sayansi kuomba msaada kwa wale wote wenye utaalamu na mambo ya Web Hosting. Naombeni mnisaidie ndugu zangu juu ya hilo jambo.
0 Reactions
5 Replies
888 Views
please..mwenye uzoefu au alishatumia hii kitu anaweza akanisaidia mambo haya: quality ya picha, kinafanya kazi kwenye operating system yoyote, ni kwa digital au analogue channels....sijapenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waungwana mwenye uelewa anifahamishe nahitaji simu yenye camera kali kati ya hizi mbili nshatumia sana HTC ONE kwa upande wa Samsung Sina ufahamu nazo zaidi.....nahitaji Smartphone yenye Camera...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
PS2 used for 2 months inauzwa! ina padi 2 memory card na lens bado nzima ukiwa tayari just pm me...thanks!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wandugu. Kutakua na training ya jinsi ya kutengeneza application za Android kwa siku tano pale Arusha Technical College kuanzia tar 12May 2014. Bei ni 80,000. Kwa reservation tuma sms...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
desc top yangu kila nikiitumia inaniletea,window is not genuine,natumia win 7,nisaidieni inasumbua sana
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Bus-Size Asteroid Buzzes Earth, Comes Closer Than the Moon...
0 Reactions
1 Replies
771 Views
Human Brain Microchip Is 9,000 Times Faster Than a PC...
0 Reactions
3 Replies
824 Views
Umbile la Kubuni la iPhone 6 iPhone 6 kwa sasa ndio gumzo la ulimwengu wa simu. Tetesi zimepamba moto juu ya iPhone 6 baada ya karibu kampuni zote kubwa kutangaza simu zao vinara (Flagship...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom