Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
yeyote mwenye huelewa na kingamuzi cha zuku hapa kuna kingamuzi hichi nataka kulipia but sina number namba yake ya acount naweza fanyaje niweze lipia?? thanks
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina Iphone 5 ina IOS 7.1 lakn imestack kwenye Apple ID ya the owner na nimeinunua mpya online..plz help me
0 Reactions
29 Replies
6K Views
APR 20 App ya Google Camera Kwenye PlayStore Google inaendelea kuwapa chaguo wale ambao wananunua simu kama vile Samsung na HTC kutumia kutumia apps ambazo ni za asili za Android (Stock...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Man City na Teknolojia ya Hali ya Juu Kikosi cha Man City Miaka kadhaa iliyolipa umaarufu wa timu hii ulikuwa “noisy neighbours” kwa maana ya kwamba wana kelele dhidi ya wapinzani wao wa...
1 Reactions
9 Replies
11K Views
Mambo vp wadau,ndugu, jamaa na marafiki Leo naomba msaada mmoja tu kutoka kwenu, ni jinsi gani nita unlock website zilizofungiwa,kwa mfano maofisini utakuwa website kama facebook,youtube n.k...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Natumia idm preactivated ila haidownload movie kayika pc yangu jamani plz maomba mwenye idm link ambayo ina serial namba anisaidie plz
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Habari wanajukwaa. napenda kuwajulisha kuwa sasa unaweza pokea fax zako zote kwa kupitia simu yako ya mkononi kwa kupitia huduma yetu ya fax2Email inayotolewa bure kabisa. unachotakiwa kukifanya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa mtu mwenye free proxy zinazofanya kazi nahitaji msaada nilizokua nazo zinagoma kwa sasa, natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hizi simu bana majanga kweli 1. Hazina option na 3g only zina highest connection ambayo unachagua 3g lkn hata km uko katikati ya jiji inakuletea 2g tu 2. Network (internet) sharing haikubali kila...
3 Reactions
95 Replies
14K Views
wadau nina mdogo wangu hapa home kafuta chaneli zote.me xo mtundu xana ila nmejaribu nikapata itv eatv na capital.naombeni jinsi ya kuongeza nyingine
0 Reactions
2 Replies
965 Views
jamani nlikuwa na folder lock yangu sasa ilikuwa trial kama kuna mtu anaweza kunisaidia ambayo sio ya dizyn hyo antumie hata link ni download hapa plz,au jinsi ya kuitumia hyohyo ila pia...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Ndio wakuu! Lengo langu na dhamira yangu ni kutaka kujifunza mobile phone repair & maintenance (software & hardware). Sasa wakuu ni wapi ambako naweza kupata mafunzo haya? Ahsante sana!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JE wewe ni mtumiaji mkubwa wa mtandao wa internet?,,na huridhiki gharama unayoitumia?,,basi njoo nikupe gb za kutosha kutumia mwezi mzima kwa gharama nafuu,,,hata ukiitaji GB2000,,NITAKUPA...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Jamani cm yangu tajwa hapo juu inazingua imwkata baada ya kutoa line nilivyorudisha inaniambia niende kwenye settings kila nikijaribu nachemka msaada wadau
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natumia Tecno F7 na nimeshafanta Rooting tayari!
0 Reactions
6 Replies
905 Views
Where and when to see Tuesday night’s blood moon Red, red moon ... a file picture taken in Manassas, Virginia, shows the moon during the peak of a total eclipse on December, 21, 2010. Picture...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau natumia HUAWEI Asend y 300 na nimedownload app ya jf sasa natafuta sehemu ya ku logout siioni msaada tafadhali
0 Reactions
3 Replies
617 Views
Wakuu jiko langu la umeme la plate nne na oven linapitisha umeme wa shoti. Tatizo liko hivi, hata ukiwa umezima socket ya ukutani ya jiko umeme ubapita na unarusha sana kwa shoti. Nilishamleta...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
ipi kati ya hizo smartphones ni nzuri zaid in general
0 Reactions
4 Replies
915 Views
Wakuu, Nina-install ms word 2007 na ninapata error hii: ''setup can not find proofing.es-us\proof.fr\proof.cab\'' Baada ya hapo setup haitaendelea, kama umewahi kukutana na hili na ukafanikiwa...
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Back
Top Bottom