Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Baada ya hangaiko la G6 kupoteza Channel, Sasa nimehamia X man G8. Maisha ni matamu sana huku, karibuni sana!
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi nina sh.100000 nataka king'amuzi ninunue kipi? nipo Dodoma (startimes au digtek)
0 Reactions
7 Replies
922 Views
Nokia expects Microsoft to finally take control of its devices division on April 25th, the company announced today. The $ 7.2 billion deal — first announced in September of last year — will...
0 Reactions
2 Replies
760 Views
Pitieni hizi link kidogo wakuu,picha zimegoma kuwa uploaded http://image-cdn.beforward.jp/large/201403/234660/BF238307_e4d054.jpg...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
What's new: Action Center to hold all of your notifications, plus customizable quick toggles Cortana virtual assistant at your command Universal Search Start background on all of your...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pc yangu ambayo ni mini aina ya asus inatatizo ambalo linajitokeza pindi unapotaka kusoma thread inaleta ujumbe kuwa'done-but with errors on page' je nifanyeje wakuu/nirekebishe kitu gani
0 Reactions
3 Replies
715 Views
Nikitaka kupiga picha kwa kutumia aimu yangu ya samsung galaxy mini inaniandikia hivi '' Camera failed error messagehandler. Handlemessage (-1)" na siwez kupiga picha je tatizo nini naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Natumia firefox kwa laptop ila kila nikiweka gmail au yahoo haiconnect inatoa sms THIS CONNECTION IS UNTRUSTED nawezaje kufanya iwe trusted site coz zingine zinakubali,nimejaribu kuinstall latest...
0 Reactions
7 Replies
807 Views
Kama ni mfuatiliji wa videos za arabic drifting from youtube utagundua kuwa sisi magari tunababaisha kuendesha. Wapo wanaojua kuendesha bwana ila sina hakika barabara na magari wanayotumia ni sawa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika harakati za kupangiwa vituo vipya vya kazi nilijikuta nimepangiwa sehemu isiyo na umeme imenibidi kununua solar panel wat 50,betri N70 na invetor SI 150 sasa hapa nataka kuchukua tv flat...
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Mwenye product key za mircosoft office professional plus 2007,naomba anisaidie jamani ninashida nazo sana ukizingatia nashindwa kufanya kazi zangu kwa sababu hio....naamin nitapata watu wenye hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wi-Fi inatumikaje? Wakuu naomba Masada.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada,nafanyaje niweze kuona full screen tbc1 kwenye kisimbusi cha azam tv? Natanguliza shukrani....unaweza kuni pm au whatsap 0753 380 229
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Nina jazba sana kutokana na dharau zinazooneshwa wazi wazi katika fani ya computer science na IT nafikiri umefika mda sasa na hizi fani kue na standards zinazoelekeza viwango na utaalam na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Naomba mawazo yenu wanajamii nimejaribu njia mbali mbali lakini bado haisomi ila flash inasoma kama kawaida.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu najiandaa na mtihani wa CCNA, ningependa kupata network simulator mfano CCNA NetSim au aina yeyote ambayo naweza kufanya utundu wote wa networking. Unaweza reply kwa ku attach cracked...
1 Reactions
2 Replies
731 Views
Hello there, Naamini jf ni kila kitu na hapa kuna wataalam wanaofahamu hii kitu Hii ni software nliambiwa na rafiki yangu kwamba naweza kutumia kuunlock simu yangu (huawei y300 by then) ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu jf users Naomba ushauri juu ya nini kinachotakiwa kufanyika ili uweze kuanzisha magazine ya matangazo kama vile advertisingdar ilivyo na web ya matangazo Pia vipi namna ya kusambaza...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Wakuu,hii tecno yangu nikmpigia mtu siwezi kumsikia mpaka niweke loud speaker,na mtu akinipigia the same mpaka niweke loud speaker,hebu nijuzeni tatizo liko wapi maana mwanzoni ilikua inafanya...
0 Reactions
4 Replies
824 Views
Wakuu naomben msaada simu yangu imevunjika kioo ni nokia lumia 520 wapi naweza pata spea ya kioo?
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Back
Top Bottom