Heshima kwenu wanajamii.
Naomba mwenye ujuzi wa kuweka namba kwenye black list ili akipiga asinipate. Nili install call blocker haikunisaidia. Natanguliza shukrani.
Hi wanajamvi, wakuu mimi ni mtumiaji wa ''Wapsite'' na simu yangu ni Nokia 2700 classic. Tatizo kubwa linalonisumbua ni kuapload picha keys za kuapload for wapsite user hufunguka vizuri mpaka...
wanajf naomben msaada wenu wa jinsi ya kuhack simu yngu coz kila app ntayoidownload inaniletea cert.error ni chache tu zinazokubal ila pia nimejaribu kugoogle wakanielekez jinsi ya kuhack hlf ktk...
habar wanajamvi, nina s2 nikiwa nachaji haijai na km ilikua na 50% inakua inapungua mpaka zero. nimejaribu kutumia charger tofaut tatzo bado lipo pia nimechange battery ila bado tatizo lipo...
Wadau kufuatia mtandao wa zantel kuendelea kupata hasara kila kukicha na kushindwa kuhudumia minara yake na wafanyakazi kwa upande wa tanzania bara kuna rumors kuwa mtandao huo unauzwa kwa kampuni...
Hello jf users
Nina mdogo wangu ni form 4 leaver anapenda sana kujua hii kitu kwa bahati nzuri au mbaya hakuweza pata credit za kutosha kuendelea na a level ila anapenda sana ajifunze kurepair ps...
Wadau nina shida na hii tv samsung LED smart tv UE22ES5400W Ina tabia ya kujizima na kujiwasha kila mara na kuna kipindi inaonyesha bila kujizima sasa kabla ya kwenda kwa mtaalam nilikuwa naomba...
Two independent security firms that dates back to January, arts and crafts retailer Michaels Stores confirmed that, much like retail giant Target, its U.S. stores had experienced a payment card...
The latest microSD card slot to come out of Toshiba is the fastest in the world. The 32GB version of the Toshiba UHS-II microSD card boasts speeds of up to 260MB/s read and 240MB/s write.
Theres...
Nahitaji speaker za radio za mtumba (zisiwe za mchina) namaanisha zinazotoka ama kuja na radio zake kama vile SONY, KENWOOD au PIONEER.
Nadhani nimeeleweka.
Nahitaji speaker aina ya PIONEER...
Kile kifurushi cha month plus cha mwezi unaweza kukipata kwa 9000/= kama utakitaka. utanipa namba yako nitakuunganisha kiaina. utalipia kwa mpesa, tigo pesa , ezypesa etc....
UPDATES>>>
Hackers 16 Wa Anonymous kutoka Nchi Mbalimbali !
Wameishajulikana!
=======================
wakati Islamic hackers wanaendeleza operation ya Yaku take down Israel websites...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.