Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Embu nielewesheni wakuu?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwenye kujua jinsi ya kuhamisha data toka kwenye external. Mtoto aliiangusha sasa haisomi kwenye laptop tena. Je nitaweza vipi kutoa document zangu msaada kwa mwenye kujua
0 Reactions
2 Replies
925 Views
Wakuu adapter yangu imeungua na nipo kwenye University Examination hapa Ardhi university,mwenye adapter ya Toshiba maeneo haya ya karibu i mean Survey tuwasiliane humu 0766458536 tufanye biashara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hallo wana JF. Naombeni Msaada wa kujulishwa/kupatiwa VPN Rahisi kwa Mwaka Mzima yenye Server ya USA. Budget yangu ni US$30 kwa Mwaka. Nawasilisha kwenu wandugu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi Team Simu za kisasa zinakuja na GPS within ni feature nzuri sana katika matumizi hasa kujua uko upande gani,Pia zinakuna na Worldmate ambayo hutumia kwa wafanya biashara na wasafari hata kwa...
0 Reactions
68 Replies
21K Views
US is always worried about its security, no matter it’s about physical or cyber related. Defense Secretary Chuck Hagel announced Pentagon efforts to strengthen its U.S. Cyber Command in coming...
0 Reactions
0 Replies
499 Views
The much-hyped fingerprint scanner on Samsung’s latest flagship handset the Galaxy S5 has already been hacked just days after the device was launched, although a teardown reveals a bill of...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
wadau naomben mnisaidie kunielewesha matumiz ya VPN(virtual private network) kwenye cm za android
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nime downoad na ku install whatapp katika simu yangu (tecno t736),nilipofanya "installation" niliambiwa "installed successfuy"file lake lipo kwenye "java" lakini ninapotaka kutumia "whatsapp"...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu nimenunua flash 4gb ya toshiba kwa mtu ila nimeikuta na virus,je kuna njia yyt ya kuondoa hao virus na nikishawaondoa nifanyaje ili wasiingie tena
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna kanuni,mbinu au njia salama muhimu ambazo kila chombo cha umeme kinatumia hasa kinapohitaji repair.Muhimu kufahamu mgawanyiko wa volt na zinapoenda, kipimo husika cha kitu ukipimacho,fahamu...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Jaman Nina LG g2 nilinunua Korea, lakin haisomi tigo pesa na mpesa, je tatizo
0 Reactions
1 Replies
683 Views
General 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 4G Network LTE 800 / 900 / 1800 / 2100 / 2600 SIM Nano-SIM Announced 2014, April Status Coming...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Lumia 620 imesumbua power on/off button. Naombeni msaada, wapi naweza kuitengeneza na gharama ikoje?
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Kunajnc ya kuhack traffic lights dzm...kwa software flan....its somhow complecated vjana. Bt ni PM 4 mor detailz
0 Reactions
22 Replies
2K Views
HAPA NDO KILA KITU" Niweke programme gan kweny galaxy s2 niweze soma moja kwa moja usb flash. Data cable ninayo.
1 Reactions
0 Replies
748 Views
Hongereni sana ZUKU CHANNEL Sasa ITV itapatikana kwenye no 29 Kama huipati fanya hivi nenda kwenye Menu--->Installation-->password 0000-->sellect--> Default Then Press Ok
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi kijana ninayependa kufahamu zaidi juu ya social network App... Hivi ni hatua gani ninazo paswa kuzifuata ili kusajili mtandao mpya wa kijamii. Na je, katika suala la malipo likoje?
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Wakuu hili limekuwa likinitatiza sana kama kuna setting yeyote mnijuze maana kila nikiandika comment siwezi kuweka aya!! Natumia samsung galaxy ace 2
0 Reactions
0 Replies
639 Views
please naomba msaada ,mtoto alimwagia perfume kwenye keyboard ya acer aspire v5 sasa hivi keyboard imechanganyikiwa nifanyaje?
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Back
Top Bottom