Jinsi ya kutumia bundle za kawaida kwenye blackberry na pia jinsi ya kudownload applications kwenye bb bla kutumia blackberry world
Thnks in advance wakuu
Sent from my BlackBerry 9800 using...
Bandugu nisaidieni nimesahau patern yangu na mail imekataa inadai pattern zilikuwa mingi so haifunguki..najaribu kuiformat i mean factory setting inagoma
Kwa watumiaji wa iPhone kama unataka kutuma email basi sio lazima kuandika.
Fungua email yako kisha andika address ya mtu unaemkusudia.
Kisha kwenye hiyo alama ya microphone hapo chini binya...
Naomba kujuzwa jinsi ya kugundua user name na password ya internet network yenye description kama hizi:
Name:satspeedH
Security:unsecured
radio type:802.11g
SSID;satspeedH
It is inserted lakini it is invisible, ilikuwa hivyo some days ago, ikarudi kuwa visible for some hours. Now imepotea, I mean imekuwa invisible for a number of days. How can it be made visible...
Naomba mtaalam anipe ujuzi huo na programme inayohusika kwenye sim tajwa. Data cable tayar ninayo lakin inaitambua flash disc lakin data sion. Nimeweka programme ya stickmount bado haifungui...
Habari zenu wakuu..
Natumia samsung galaxy s2..
Nikiweka laini inaandika emergency calls only,yani haisomi lakini ukiingia kwenye contacts majina yaliyopo kwenye lain yanaonekana..
Na pia...
APR
14
Samsung Galaxy S5: Hisia za Awali
Baada ya kuitia mkononi siku ya awali ambapo Samsung Galaxy S5 imeanza rasmi kuuzwa katika nchi mia na ishirini Ulimwenguni, tutazungumzia mambo mapya...
nimekuwa nikihangaika kwa muda mrefu sana, ku activate Internet Sharing kwenye my Nokia Lumia, na ilikuwa ikigoma kwa muda mrefu sana, nikajaribu kutumia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na ku...
Habari ya kitambo wataalamu!
Idea ifuatayo inahitaji mawazo na support flani kutoka kwa yule mwenye nafasi ya kufanya hivyo.
Kwa wale ambao ni member wa bank flani hivi...
Wakuu poleni sana kwa Mvua,nina Desktop yangu aina ya Apple iMac Power Supply yake imekufa,AC INPUT yake ni 100-240v, 50-60Hz 3.5A na TOTAL 180w MAX. Na pia iMac hii hii niliingiza wrong Password...
Hi,
Wandugu nataka kufanya partition ya external HDD, so naitaji software nitakayoweza kufanya hiyo kazi ktk Win8.
kama kuna mutu ana link itakoyoniwezesha kudwnload....,plz help....
habari wakuu, naomba mnisaidie jinsi ya kuaccess localhost through internet. plz usichanganye na kuaccess through same network (same gateway). naskia cjui unatumia vpn! but am not sure, pls help...
naomba msaada jinsi ya kufanya screen shot kwenye instagram.na je mpaka simu zenye uwezo mkubwa au la.na njia mbadala ya kusave picha kutoka instagram.asanteni
Students from Harward university have recently launched a new social website known as "Skamster". The website have its own customise script with cool features.
website is going viral as at...
Habari zenu wakuu
Nmeskia ttcl inaweza kufika mpaka 8mbps na wengine wanadai eti ni bora kuliko smile tz je kunaukweli wowote katika hili na pia je kwenye picha hiyo nlioattach je hio modem ya...
wakuu habari zenu natumia dell D830 natafuta os ya android x86 inayo support dell yangu mana kila nnayo ipata
wireless hai support nimejaribu link hii Downloads - android-x86 - An open source...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.