Simu zina operate katika different frequencies (bands)
na hii inategemeana na Geographical location! Kuna bands zipo nyingi na tofauti tofauti ikitegemeana na uwezo wa simu!
2G Network...
Nilinunua modem ya Tigo hivi karibuni. Hapo juzi ilikata ghafla na tangu hapo inakataa kuconnect, nimewauliza Tigo wanadai wapo kwenye marekebisho ya mitambo lakini naona siku zinakata tu hivyo...
Nashindwa kabisa kufungua internet kwenye simu yangu ,simu yangu ni samsung galaxy star GT S5282
Inatumia wireless for fidelity(WiFi),ina mwezi mmoja tu na settings kila nikichange inagoma ,hata...
wadau nnamtafuta mtu ambae ana masafa ya FM ya Mkoa wa Dar es salaam,nnajua wapo ambao wanayo ila bado awajaingia hewani,nnataka ku venture nae ili nianzishe radio ,mwenye nayo ani PM...
katika pitapita nimekutana na hii
hebu tu sheeeeee!!!!!!!
1. Hide SMS Text Contacts Calls:
Hide SMS Text Contacts Calls is a nice app which makes it everything possible for you in one single...
wanajamvi, naombeni msaada wenu jins gan ya kurudisha social application na mail katika simu yangu maana vime potea katika hii simu na sielew jins ya kuvirudisha
Habari wadau
nimetumiwa iPhone 5 toka UK,sasa nimejaribu kutumia line ya tigo Simi inaniambia hiyo line ni invalid,Nafanyeje ili niweze kutumia hii Simu kwa mtandao Wa hapa tz?
wote humu kwaza salam kwa wote
nimepata tatizo amabalo halijawahi kunitokea katika compyuta mi si fundi ila nachokonoa chokonoa kama mashine ni yangu hua najifanyia mwenyewe ila leo kwa hili...
Wakuu kwa aliyefanikiwa kufanya verification ya CRDB VISA card kwenye PayPal na akafanikiwa anisaidie, mimi inanipa msg "billing address doesnt match with paypal street address. NB: hii card...
HINTS:
1. go to www.boxbe.com
2. login with your details that you registered with
3.go to DASHBOARD
4.Click SETTINGS
5.click ACCOUNT INFO
6.click CLOSE MY ACCOUNT
7.untick all options there below...
Wakuu, nina Apple IPhone 4S. Naona toka jana nikichaji baada ya kuchomoa tu chaji inaniambia "battery low, shutting down". Nahisi battery imekufa kwani wakati wa kuchaji inaonyesha chaji inaingia...
Hallo JF Members.
Naomba kujua nani kinara wa Speed ya ukweli kwenye issue ya Network kati ya hao wawili nlowataja hapo juu!???
Je, Kitaalamu ADSL Internet Broadband Vs 4G LTE Internet ni ipi...
naombeni kusaidiwa kugundua sehemu ambayo naweza kupata maji kwenye kisima cha kina kifupi..pia najuaje sehemu hiyo hapana maji ya chumvi..pia je maji ya chini yanafaa kwakilimo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.