Kumekuwepo na mitazamo ya kutofautiana
kuhusiana na simu hizi ambapo wachambuzi
wengine wa masuala ya simu, wanadai S5 ni
simu bora kabisa katika soko la smartphones za
kishua kwa sasa. Hata hivyo...
Habari ya leo,
simu yangu aina ya asha305 imekufa TOUCH,
natafuta fundi, niko Dar TEMKE.
yeyote anayejua kuirekebisha ani PM Tafahali.
au anipigie 0652 210 584
Natumia laptop aina ya hp pavilion os ni window 7 professional. Tatizo ni kwamba haioneshi icon ya betry ambayo itanisaidia kujua kiwango cha charge nimeshajaribu kwenda kwenye control pannel...
Kama jamvini humu kuna anayefahamu hili anisaidie, kuna pc ilikuwa na WINDOW ya xp sp2 na ilipopata shida akaamua kuformat. Badala ya kufuta WINDOW na kuinstall nyingine aliingiza windows nyingine...
Habar zenu wandugu,
Mie nina Computer (Laptop) aina ya HP ProBook 4540s ina Window 8. Tangia ni inunue imekuwa na tabia ya kufuta maifili yote ya desktop na my documents automatically kwa...
Naomba kujua jinsi ya kumtoa mtu kwenye akaunti yako ambaye hapo mwanzo ulimu-add kama friend, hapa nna maana ya kwamba yeye pia asione profile yako kwenye akunti yake, pia namna ya kubatilisha...
Wadau nimenunua Nokia Lumia 520 ili niweze kuitumia kama wireless modem lakini cha kushangaza kila nikiwasha wireless inaji-switch off kunipa ujumbe kwamba "connection is unavailable". Nimeenda...
Namna ya kutambua vifupisho(abbreviations)vya maneno ambayo yanatumika kwenye TV, mfano AGC,AFC,IF,AVC,BT/TV,VCC,IR,APC,BW,CRO,LCD,UHF,VHF,VLF,NC,VCE,VBB,BH,BL,BU,RGB and etc.
MOBILE PHONE EXPRESS COMMUNICATION LTD® we are one of the leading mobile phone distributorsis. We are legitimate registered company under government registration and licensed,
Registered...
Habari zenu wadau mimi naomba msaada wenu wa kiufundi jaman simu yangu niliweka screen protector ila kwa sasa imekwaruzika nlikua nauliza jaman kama naweza kuitoa na kuweka nyingine msaada tafadhal
wataalam nimeshangazwa na hii modem wakati nafungua dashboard nikaona imesoma 26.2Mbps nikahisi macho tu ikabidi niangalie kwenye statistics nikaona kweli ilifika huko japo iligusa tu na kurudi...
naombeni msada wapendwa memory card yangu ya simu yangu inaniambia ni format but kila nikijalibu kuformat haitaki nikiweka kwenye computer inafunguka na kuonyesha mafail but nikiformat pia kwa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
nilikuwa nataka kufuta programu lakini computer isitambue tena hata kama nikitaka kuinstall tena hiyo program niliyoweka mwanzo.
Asanteni nahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.