Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
APR 12 Utaratibu Mpya wa Booster (WiFi na 4G) katika Galaxy S5 Baada ya kuitumia simu hii chini ya masaa 24 tunatoa hisia zetu za awali juu ya ufanisi wake, moja katika ongezeko jipya la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau naomba kufahamishwa kampuni za kibongo ambazo ununua flash ads banner.​
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Niliwai soma humu kuna cables zinaunga flash na simu. Wap naipata kwa dar leo. Natanguliza shukran
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama wewe unapenda sayansi na ni mmoja ya waathirika wa maendeleo na ukuaji wa teknolojia tuma maoni yako kupitia +255656188644 "kuwa Sehemu Ya Mabadiliko Makubwa Ya Sayansi/teknolojia"...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf Mwenye software hizi adobe photoshop, indesign na illustrator zote zikiwa cs7 au adobe office cs7 Ziwe burnt au original disks ani pm tufanye biashara
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya msako wa muda mrefu wa ndege iliyopotea katika mazingira ya kutatanisha flight MH370, wiki kama mbili nyuma meli za China zilipata 'signal' yenye frequency ya 37.5KHz ambayo ni range...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hey hawa jamaa wa tigo wabunifu kweli na sasa hivi wamekuja na application iitwayo tigopesa itakayokusaidia kutuma pesa na kuhakiki na huduma nyingi .wish mtaiona
1 Reactions
5 Replies
1K Views
'Cherry tree from space' mystery baffles Japan...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
ni kifaa muhimu cha kurekodi mawasiliano ya ndege. jina na rangi yake vinauhusiano wowote??
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa anaaeweza kuunlock simu tajwa apo juu kwa bei nzuri tuwasiliane kwa pm au no. 0716683434 Nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
784 Views
ZUKU wametuandikia IPO lakini hatuioni so mwenye moyo wa kusa idia atusaidie jinsi ya kuinstall plz
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Jamani mimi niko mbali na dar kuna rafiki yangu mimemuagiza aninunulie tecno m5 anadai amezunguka amekuta ni 300000 kweli ndio bei yake.
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakuu nina tatizo la computer yangu desc top ya lenovo. Imeunganishwa na computer nyingine mbili kwa internet comunication .Ila zote zina tatizo la kuzima mara kwa mara na kuandika power serving...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Have you noticed your usually speedy Google Chrome browser slowing down, or even crashing on you? Unnecessary plugins, extensions, and even browsing data can slow your browser down to a crawl, or...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
'Habari zenu wakuu................poleni na mishughuliko ya kutwa nzima ya kujenga taifa letu,kiukweli baada ya kusumbuka na kuhangaika juu ya hii tablet nnayotumia nikasema hapana nimeshindwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
If you are regularly seeing the “Whoa! Google Chrome has crashed” message, there is likely a problem on your system. An occasional crash can happen, but regular crashes are probably caused by...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni hizi za tigo.help please.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanab0di Mimi nina kingamuzi cha Azam TV,huwa narek0di mpira sana hasa ligi ya VPL sasa nikichukua flash yangu kwenda kuangalia kwenye k0mputa lile file halifunguki!je f0rmat inay0tumika kwenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
One of the most frustrating things in the world is getting up in the morning to see that your computer refuses to boot, or it keeps restart by itself. It was still working fine the night before...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa kama kuna mtandao wowote wa simu unaotoa unlimited internet kwa masaa fulani kwa sasa.Pia kama kuna njia mbadala naomba kujuzwa. kalibuni.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom