Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
nime -download na ku- install whatsapp katika simu yangu (tecno t736),nilipofanya "installation" niliambiwa "installed successfuy"file lake lipo kwenye "java" lakini ninapotaka kutumia "whatsapp"...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji msaada wa kuwapata hawa wa waagizaji wa magari beforward kama kuna mtu ananamba zao anisaidie
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepata mshtuko wa kuondokewa na kipenzi window Xp, naipenda sana kwani ni nzuri kwa wajifunzao Kompyuta. Tarehe 8 mwezi wa nne mwaka 2014 ilikuwa ni mwisho wa Microsoft kuendelea kuisupport...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
ndugu zangu hiyo namba imenitafuta leo ni siku ya nne ananipigia ila nashindwa kupokea kutokana na namba yenyewe,nisaidie ni namba ya wapi wadau.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natumia Tecno Phantom A+ F7. Nilifuta picha zangu kimakosa nawezaje kuzirudisha?
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Mwenye Simu mtumba.(Iliyotumika) na bado ipo ktk hali nzuri niPM SIFA. Iwe Smartphone. Mwenye Huawei Ascend D2 Samsung S2 na S3 atapewa kipaumbele. Pm pamoja na bei yake.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau,naomba mnijuze bei ya Noah(used) kwa showroom za Dar na pia kama naagiza toka Japan itanigharimu kiasi gani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Saa Za Gear: Samsung Imechanganyikiwa? Samsung katika medani ya simu na vifaa vyake (accesories) imekuwa ni kampuni ya kufuata na sio ya kugundua au kutangulia. Ila mwaka jana miongoni mwa...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Habari gani, Naomba kujulishwa uzuri na ubaya wa HTC ONE
0 Reactions
4 Replies
4K Views
naomba yeyote anayejua jinsi ya kuifanyia manual internet configuration anisaidie, natumia line ya Vodacom. simu original.
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Wale wapenzi wa google glass au wearable computer kaeni mkao wa kula,google wameanza kuuza glass hiyo kwa consumers wa marekani. Ni matumaini yangu baada ya hapo tutafikiwa wapenzi wa miwani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa kuwa hapa JF hatujapungukiwa na kitu katika idara zote, nimeona hili nimalizane nalo hapa hapa. Nahitaji member mwenzetu hapa ambaye yuko vizuri kwenye...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau. Naulizia huduma ya unlimited internet ambayo kuna mdau aliinadi mwaka jana humu jukwaani kama bado ipo kwani napenda sana muvi ila ghalama za kudownload ndio kubwa kwa mitandao yetu...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Hivi karibuni senior member wa XDA Developers amefanikiwa kudevelop ROM za Simu za Nokia X zenye Android ambazo zilizinduliwa mapema mwaka huu. Hivyo wapenzi wa Nokia msivunjike moyo kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni link gan nzur naweza pata magame mazur na kudowlod bila problems
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kunawakati waweza kujiuliza nikwann TV uliyokuta imekufa power inarudia kuua mara kwa mara pindi unapo repair,fahamu zaid.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Krrish 3 movie is based on super hero theme where hrithik saves people's life whenever they are in need or in danger. Krrish 3 movie is full of special effects, this game gives real feel of the...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Naomba msaada wa namna ya kuinstall itv kwenye zuku. Naomba kwa mwenye kujua aniwekee hapa hatua kwa hatua tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habarini wakuu! Nimepata janga,Simu yangu kupoteza majina yote! Kuna namna yoyote naweza kufanya kuyapata wakuu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Oya wadau habari zenu, naombeni msaada basi wa kuchakachua king'amuzi cha StarTimes ili niweze kupata chaneli nyingi za bure, nitimize haki yangu ya kikatiba ya kupata habari. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
719 Views
Back
Top Bottom