Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
nipigie 0758929087 kama una nokia E72 au yeyote inayofanana na hiyo nipigie tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Hey guys... Ijumaa Kuu Njema. For the time being nipo very remote area where no IT Techs but unfortunately my laptop doesn't boot at all... it just keep on restarting very soon DELL Logo...
0 Reactions
3 Replies
953 Views
habari wataalamu jirani yangu aliicha simu ikiwa screen ina zile pattern sasa mtoto kaja kuchezea zimejilock naombeni msaada wenu jinsi ya kuunlock,ukifungua inajiandika too many patterns attempts...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumai hamujambo wakubwa na wadogo zangu kama mm.Hivyo nilikuwa naomba msaada wenu kwa anaejuwa vizuri matumizi ya PD PROXY maana niliwahi kujiunga zamani sana ila nikawa siitumii ila kwa sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wadau,, nauza simu yangu galaxy s3..inatatizo moja tu,, haitoi sauti..ili tokea baada ya ku update operating system kumbe os nilioitumia sio ya model hii..yangu ni GT-i9300..ila kwa sasa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu....za sikukuu? Ninafahamu kuhusu open source software na licenses. Ila swali langu leo kwa developers ni kuwa siwezi kutengeneza apps za android bila kuadopt mfumo wa open source? Na kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini. Nina modem ya ZTE model MF 190 na imeshakuwa unlocked...tatizo lake limezuka juzi kwamba kila niki connect inafanikwa kwa dakika chache then ina disconnect yenyewe. Nimejaribu kuchek...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
:becky: If you use broadband, you can make webpages load even faster in Firefox by using this "pipelining" trick. Normally the browser will make one request to a web page at a time. When...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mahakama Yaamrisha Kim Dotcom Arudishiwe Mali Mmiliki wa mtandao wa kubadilishana mafaili kwenye intaneti unaojulikana kama MegaUpload ambao umefungiwa Bwana Kim Dotcom amepata ushindi mkubwa...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Now you can post a Blogger blog from your Android phone using new app introduced by Google. The app is launched on February 2011 and is absolutely free. It requires Android OS 2.1 or above...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf naomba yeyote mwenyekujua jinsi ya kufanya screen shoot kwenye pc natumia laptop aina ya Toshiba satelite Operating system ni window 7 starter
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nendag katika andress box yko thne andka opera:config Itaload na kuna menyu itakuja thn shuka chni utaona 30 xo change iwe 3600 thn save. Baada ya hap katka andress box andka...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
wakuu nahitaji game la fifa la mwaka 99...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
According to Tim Rains, director of Microsoft Trustworthy Computing Microsoft’s threat modeling tool updated with new features designed to offer organizations more flexibility and help them...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HAbari zenu wanaJF. Nina laptop yangu imeungua housing(cover) lake. napenda kuuliza kama huwa zinapatikana na kama zinapatikana ni maeneo gani? mimi nipo Dar na laptop yangu ni DEll INPIRON...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari zenu wadau.. kuna tatizo limejitokeza ghafla kwenye CPU yangu, nikiwasha haiwaki but taa iliyomo ndani yake ya AUX inawaka, Power supply yangu ni mpya na iko poa coz nimejaribu kuiwasha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyosema youwaveandroid ambayo nimekuwa nikiitumia katika pc yangu kwa ajili ya kupata Whatsaap imebuma na sijajua tatizo ni nini hasa. Nimejaribu kui unistall kisha kuinstall upya...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
20. Huawei Ascend P6 19. Nokia Lumia 820 18. BlackBerry Z10 17. Sony Xperia SP 16. Samsung Galaxy SP Active 15. Samsung Galaxy S3 14. Nokia Lumia 925 13. iPhone 5C 12. Samsung Galaxy S2...
5 Reactions
83 Replies
8K Views
Wandugu naombeni msaada wa namna ya kupata 3G kwa simu yangu ya LG 4G LTE natumia line ya airtel ila kwa network inasoma G ambayo inakuwa very very slow kwa net..msaada ndugu zangu..nimepiga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nimeinstall skype nikajaribu kufungua majibu ni haya zimekuja options za lugha nimechagua english halafu neno lililo fuata ni open kpad baada ya kufungua hizi kpad hakuna kilicho endelea naomba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom