Kazi ya Jamii Forums sio tu kupashana habari, Social Networking,nk. bali pia kusaidiana pale inapowezekana.
Nimeona watu wana shida ndogo ndogo katika masuala ya technology upande wa...
Wakuu,
Nasikia kitu hiyo ukiwa nayo huna haja ya kuwa hata na DSTV.Nasikia inakamata machannel kibao na inatumia vocha ya sh 5000 kwa mwezi.Nimeambiwa bei yake ni Tsh 300,000,kazi yake ni kama...
Habari wana jf wenzangu
nina kamera yangu ya picha ya digital inatumia memory card kama ya simu kuhifazia picha.juzi nimeenda studio picha zilikuwa zinaonekana lakini tulipoweka memory card...
Hi All,
Today Monday 20th Jan 2014 we are going to have our Mobile Monday event. This month we are going to look at the Status of Mobile and Online Payment in Tanzania.
The...
ARSELONA,NYONDOLOJA na wadau wengine woooote wa masuala ya satellite dishes,kwa hapa dar hiyo satellite naeza pta kwa dish saiz gani na lnb gani ya ku inayofaa?pili naitaka receiver hiyo,je...
Naomba mnisaidie jamani nataka kuchua progra mbalimbali kwa ku dounlod katika internet ili niweke kwenye computer.nimeshindwa kabisa jamani nisaidieni wa Jf
OMG, its a natural death. Nimebaki na moderm tu. No data. Vocha niliweka za mwezi mzima. Hakuna connection. Najaribu kuangalia salio - no response. Mweee customer care je, hakuna majibu. Nikaenda...
Naomba msaada wanajamii, nina laptop toshiba satellite A200. ilikuja na Vista Basic. Nika-install Windows 7. Tangu hapo ikapoteza kuona DVD Writer. Haionekani kabisa. Ila ukiweka CD inaonesha kuwa...
Habari wakuu, kuna hizi TV zinazotumia nguvu ya jua ( solar TV ). Mimi nazisikia tu ila sijawai kuziona hapa bongo. Sasa nataka kujua hiki. Nasikia panel yake inahamishika. Yani unaichomoa kwenye...
Wakuu nahitaji Desktop kwa ajili ya studio so kwa haraka haraka
kuna laptop ambayo sina matumizi nayo kwa sana.
so mwenye CPU ambayo iko powerful kuliko
HP Laptop Inauzwa at Cheap...
Habari zenu wakuu..
nimeingia kwenye blackberry world lakina sijaikuta application ya JF..
Je ni kwamba bado haijatoka au.?
Natumia blackberry q5 iliyo na BlackBerry OS 10..
Cc. Invisible...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.